life255
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 573
- 1,433
Sure unanipita nikuombe Nikopeshe 30k kama Uko nayoSure
Sure unanipita nikuombe Nikopeshe 30k kama Uko nayoSure
Bwashee wanapata wapi nguvu za kufanya maamuzi juu yako na pesa ya gambe hawana? Hayo ni matumizi mabaya ya maamuzi..Bwashee na ugomvi na ndugu ,halafu hawana pesa kunizidi ila wanataka kufanya maamuzi juu yangu Leo nimechukia mno
Enjoy wakwetu...🥂Nipo Canada hapa ottario hata sielewi wa kwetu😃 nakula tu pombe hapa
hana baya huyo inabidi aenjoyBwashee 😃 seran kwanza nimchape pesa rafiki yangu wa faida
maisha ni kupambana bila kuchoka wasikate tamaa Kuna kesho iliyo bora inakuja, wakae tu ki askari bwasheeBwashee kuna vijana hawana maisha Mimi nazidi waelewa hapa
😄😄😄Sisemi
😹😹 NjooMtoto mzuri unajua pakunipata
Unajitutumua kumwonesha seran una mawe kumbe unashindia mbege na kongoro za nguruwe😃😃 bwashee ni Mimi najitutumua au ni wewe unaogopa kuniomba hela 😃
Anajua ulivyo kapuku?Hakuna mtu Anae nijua kama huyo