Hadi saa hii hajarudi toka kwenye KITCHEN PARTY!

Endelea kumsubiri anafanya mazoezi ya kuja kukuhudumia,

images
 
AMESHARUDI? HIYO SIDHANI KAMA ILIKUWA kitchen party nadhani ilikuwa ni chicken party! SHTUKA MKUU BABA V.
 
at least you have said something, simu yake haipatikani na ilipofika mida ya saa mbili alisema anazima simu eti imetangazwa kuwa mida ya saa tatu kuna sayari inatoa mionzi kwa hyo anachukua tahadhari,yaani hadi kumi na moja hii nachomoka kwenda kibaruani bado hola,yaani nahisi kweli kuletewa mtoto mchina!

sasa kumkomoa ukirudi home mfulie nguo zake zote hadi vinasa, fanya usafi chumbani na akirudi mpokee kwa upendo na upole.
 
King'asti mida hii kulikoni my dada maan nyumbani vyumba
Vimejaa ukirudishwa utalala wapi?

kaka hakuna kwere. Niliamka kupasha misuli kwa ajili ya morning glory. Harudishwi mtu hapa, labda nije wifi anifanyie kitchen party kuongezea glass zilizovunjwa na wapwa wako.
 
Last edited by a moderator:
Dah, na mimi wkend hii ntaomba ruhusa ya kwenda k.party, kumbe kuna ka mwanya kwenda matembezi hapa ee !

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Dah, na mimi wkend hii ntaomba ruhusa ya kwenda k.party, kumbe kuna ka mwanya kwenda matembezi hapa ee !

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

usiombe yakukute neggirl
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom