Habari njema ni kuwa JWTZ ndio Taasisi pekee ilobakia yenye Kibali Cha Wananchi Nchi nzima na inayoungwa Mkono na Ulaya, Marekan na Nchi Wahisani.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Lolote lile litakalifanyoka na Vijana wa JWTZ wanaokerwa na Utekaji, Uuaji, Ufungwaji wa Makanisa, Majaribio ya Kuua Viongozi wa Dini ya Ukristo, kubagaWa Kwa Rasimali za Nchi n.k ,lolote lile liyakalifanywa na Wazalendo Hawa.

NCHI NZIMA ITAWAWAFANYIA SHEREHE, JUMUIYA ZA KIMATAIFA ZITAWAPONGEZA !!.

Kama Marekan, Ulaya, Israel wamempokea Rais Mpya wa Syria , Au kama Uchima na Urusi zilivyompokea TALBAN pale Afghanistan...

NI HABARI GAN KWA JWTZ???
 
Kwa namna Serikali ya CCM ilivyokataliwa kuanzia na Wahisani, Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu na Shirika la Human Rights Watch. Mapinduzi yeyote yale lazima yaungwe mkono kuanzia ndani ya nchi hadi Kimataifa.
 
Hakuna cha JWTZ wala nn.
Ni lazima wote tushiriki kuikomboa nchi, Wote tupigwe virungu ndo Jeshi litaingilia.

Uhuru gani huo mnaoutaka uje kirahisi rahisi, Hata wakichukua nchi wajeda saivi watafanya kwa maslai yao binafsi tu sio kwa sababu ya maslai mapana ya wananchi
 
Back
Top Bottom