Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 786
- 1,549
- Thread starter
- #61
google wameifunga kwenye operamin kwenye phone zenye uwezo mdogNdugu mbna mm cjaona natumia tu hamna xhda tu
google wameifunga kwenye operamin kwenye phone zenye uwezo mdogNdugu mbna mm cjaona natumia tu hamna xhda tu
Sasa mbona mm nina kiswaswadu chenye operamingoogle wameifunga kwenye operamin kwenye phone zenye uwezo mdog
huenda wew una kiswaswadu cha tofautiSasa mbona mm nina kiswaswadu chenye operamin
kuingia jf inakubal ila ukiweka acount ya google hauingi tena!Mkiona simu ambayo naitumia na mnasema hivyo nazidi kuamini uongo wa jeiefu hautaisha. Achana nayo.
yap maelezo yako ndio yalifaa yawe uzi wenyewe na umenielewesha sasa nimeelewa lakini bila hiyo ningebisha hadi siku cmu itapasukakuingia jf inakubal ila ukiweka acount ya google hauingi tena!
Mkuu kumbe ni kweli.... wamefungia ila nina search engine za kutosha.... ila kwenye browser google naingia tu kama kawaida.......Ule mtandao pendwa wa google unaojua kila kitu leo asubuhi saa 12 umefungia simu zenye uwezo mdogo kuutumia asa vile viswaswadu venye operamin