Habari mpya kutoka mtandao wa Google

Habari mpya kutoka mtandao wa Google

Tuliocheza jar games tunajua, wengine hata hawajui kama kuna opera mini ya kiswaswadu duniani, browser ya kweny kiswaswadu ilinifanya niijue jamiiforums
hii itel ya line tatu ndio yangu hadi bet natumia hiyo hiyo na maisha yanasonga. Kucheza games kama ile ya puzzle lazima nitoe voda ibaiki airtel nicheze bila hiyo wananiambia buy. Ukikuta cmu haina opera hiyo achana nayo.
 
Wazuie na tekno na infinix , hivyo navyo ni viswaswadu tu
Ili muenjoy pekee yenu.... Tekno ni smartphone mkuu
Screenshot_20260722-212728.jpg
 
Ule mtandao pendwa wa google unaojua kila kitu leo asubuhi saa 12 umefungia simu zenye uwezo mdogo kuutumia asa vile viswaswadu venye operamin
Ni kweli search engine ya Google imesitisha kutoa huduma kwenye simu za viswaswadu kupitia Internet Browser ya Opera mini lakini unaweza kutumia search engine ya DuckDuckGo na mambo yakaenda km kawaida..
 
Back
Top Bottom