HOJA Sera Mpya ya 'Cashless' itafeli, sababu ni hizi

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

MaweSaba

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2024
Posts
362
Reaction score
536
Maoni

Habari za leo wadau,

Sera mpya iliopitishwa na Bunge letu Mwaka wa Fedha 2026 - 2027, ITAFELI kwa sababu

1. Miamala ya Fedha Tanzania inagharimu watanzania 10% kwa miamala midogo na zaidi ya 3% kwa miamala mikubwa (100k +).
Ili ifanikiwe, serikali ilipaswa kuondoa kabisa kodi kwenye miamala. Tayari mnachukua VAT kwa kila bidhaa, kwa nini mtoze tena kwenye kulipia iyo huduma au bidhaa?

2. Kuondoa TOZO kwenye miamala ya simu
Ili kila mtanzania aridhia kulipia manunuzi ya bidhaa na huduma mbali mbali kwa kutumia simu au bank. Ilipaswa kurahisisha gharama za transactions hasa cross transaction kutoka benki kwenda kwenye mitandao ya simu e.t.c

3.. Kupunguza gharama za huduma za inrernet, transaction za kidijitali zinahitaji mtandao, kwa nchi jirani, RWANDA 1,000 wanapata GB 7. Kwa digital transaction mtu hafikirii kabisa. Hapa kwetu, ni ngumu kushawishi mtu awe na app anayo control pesa zake kama internet is not cost effective

4. Kwa wafanyabiashara, cashless inasaidia kutrack mapato kidigitali na kutunza rekodi kwa urahisi, lakini kama wateja hawatumii cashless services, bado serikali itapata shida kutrack mapato ya wafanya biashara

Tunzeni Uzi huu tupate majibu ya initiative hii mwaka kesho
 
Hio sera ya Cashless haiwezi kufeli kwa sababu wakubwa 1st world walishaanza kuitumia kitamboo sana nyie huko 3rd world ni mnapewa maelekezo tu mtafuata mtake msitake hio ndio New world order. Mie huku sijashika dollar kama dollar kwa miezi zaidi ya 6, ni mwendo wa cashless tu kila sehemu.
 
Hio sera ya Cashless haiwezi kufeli kwa sababu wakubwa 1st world walishaanza kuitumia kitamboo sana nyie huko 3rd world ni mnapewa maelekezo tu mtafuata tu mtake msitake hio ndio New world order. Mie huku sijashika dollar kama dollar kwa miezi zaidi ya 6, ni mwendo wa cashless tu kila sehemu.
Kusitisha matumizi ya kuni wamefikia wapi?
 
Hapo bado mtandao haujagoma,mtu anataka kulipa kwa app, hela inakatwa ila haifiki kwa muuzaji na huduma kwa wateja hawana msaada. Ukikutwa na hii dhahama hautakaa urudie kulipia kitu mtandaoni hasa kwa kutumia hizi apps.
Bado benki hazijakwambia zinafanya marekebisho sijui maboresho, hapo siku kadhaa hakuna transaction inafanyika.
 
Kiukweli ni wajinga kupita kiasi
Wanadhani kutoa amri ni utekelezaji kumbe sio badala yake watengeneze mazingira ambayo mteja atafanya malipo cashless kwa hiari

1. Makato ya kulipia pesa kutoka namba ya simu kwenda kwenye huduma za lipa namba ni makubwa mno, tena usiombe uwe unalipa kwenda mtandao mwingine
Ukitaka watu walipe cashless ondoa makato.

2. Mabando ni bei ghali na kupitia apps ndio watu wangeshawishika kulipa kuliko kutumia USSD kila mtu anapotaka kulipia bidhaa
Inakatisha tamaa

3. Makato kutoa pesa benki kwenda kwenye namba ya simu ni ghali, na watu wengi wa uchumi wa kati wakipokea pesa zao benki ilibidi uwashawishi kuhamishia pesa zao kwenye simu ila kutokana na makato ni bora mtu ukapange foleni ATM ubebe makaratasi yako

Wakiweka mazingira mazuri watu wenyewe watahamia cashless ila sio kwa mfumo uliopo, binafsi napenda kutumia cashless ila nikiwa na pesa ya mawazo naenda kudaka makaratasi yangu
 
Maoni

Habari za leo wadau,

Sera mpya iliopitishwa na Bunge letu Mwaka wa Fedha 2026 - 2027, ITAFELI kwa sababu

1. Miamala ya Fedha Tanzania inagharimu watanzania 10% kwa miamala midogo na zaidi ya 3% kwa miamala mikubwa (100k +).
Ili ifanikiwe, serikali ilipaswa kuondoa kabisa kodi kwenye miamala. Tayari mnachukua VAT kwa kila bidhaa, kwa nini mtoze tena kwenye kulipia iyo huduma au bidhaa?

2. Kuondoa TOZO kwenye miamala ya simu
Ili kila mtanzania aridhia kulipia manunuzi ya bidhaa na huduma mbali mbali kwa kutumia simu au bank. Ilipaswa kurahisisha gharama za transactions hasa cross transaction kutoka benki kwenda kwenye mitandao ya simu e.t.c

3.. Kupunguza gharama za huduma za inrernet, transaction za kidijitali zinahitaji mtandao, kwa nchi jirani, RWANDA 1,000 wanapata GB 7. Kwa digital transaction mtu hafikirii kabisa. Hapa kwetu, ni ngumu kushawishi mtu awe na app anayo control pesa zake kama internet is not cost effective

4. Kwa wafanyabiashara, cashless inasaidia kutrack mapato kidigitali na kutunza rekodi kwa urahisi, lakini kama wateja hawatumii cashless services, bado serikali itapata shida kutrack mapato ya wafanya biashara

Tunzeni Uzi huu tupate majibu ya initiative hii mwaka kesho
Mleta mada ana point kubwa. Cashless siyo tatizo, tatizo ni gharama na mazingira ya matumizi yake. Kama Serikali inataka wananchi wahamie kwenye malipo ya kidigitali, inapaswa kwanza kuhakikisha miamala inakuwa nafuu, internet inapatikana kwa gharama inayomudu mwananchi wa kawaida, na cross-network transactions haziumizi mfukoni.

Vinginevyo tunataka cashless, lakini gharama za kuitumia zinamsukuma mwananchi kurudi kwenye cash. Hapo ndipo sera inaweza kushindwa kufikia lengo lake.
 
Tuishauri serekali tufanyeje?,
*Makato ya miamala ni makubwa mno! (Unatoa 5000 unakatwa 700-800 hii ni ghali mno its should be 250/-) Ukizingatia hizi function ni automatic au autorun once set-up!/
Ikishashusha gharama ilazimishwe tu,manunuzi yote kariakoo yafanywe kwa mfumo wa card,swap au mobile!...
5000 ikatwe 250/-
10,000 ikatwe 500/-
100,000 ikatwe 1500/-
500,000 ikatwe 2000/-
1,000,000 ikatwe 2500/-
 
Tatizo wa kuishauri serikali hawapo ndio maana katiba mpya ni muhimu
Hili swala lilitakiwa liwe limewasilishwa bungeni zamani na kufanyiwa utekelezaji ila tupo na kikundi cha wachumia tumbo na sio wawakilishi
 
Kusitisha matumizi ya kuni wamefikia wapi?
Matumizi ya kuni ni LOCAL issue hio ya huko, haina mashiko kwa western world, ila CASHLESS ni yao haswaa lazima itekelezwe kwa nguvu zote. Sie huku matawi ya mabank yanafungwa kila leo, kazi za bank tellers tayari zimeshaota mbawa hamna mtu wa kubeba cash wa kupeleka bank
 
Cashless kukiwa na mitozo hakuna mtu atakayefanya huo UPUUZI.
Tatizo kubwa la mambo mengi kukwama Africa, viongozi uwa hawajiandai na kitu chochote wanakurupuka tu. Sasa huo mfumo wa cashless huko ulitakiwa uangaliwe hayo makato yapunguzwe ili kumpa mlipaji unafuu au kuyafuta yote na kubaki na fees kidogo ili kuwaencourage watu wengi wautumie huo mfumo cashless.
Kukurupuka ndio asili yetu waafrika uwaga hatuna research yoyote kabla ya kuleta kitu kipya. Sasa kwa hayo makato anaeumia ni mlipaji. WTF.
 
Ndio maana watu wanalipa kwa cash, hakuna kujichosha.
 
Maoni

Habari za leo wadau,

Sera mpya iliopitishwa na Bunge letu Mwaka wa Fedha 2026 - 2027, ITAFELI kwa sababu

1. Miamala ya Fedha Tanzania inagharimu watanzania 10% kwa miamala midogo na zaidi ya 3% kwa miamala mikubwa (100k +).
Ili ifanikiwe, serikali ilipaswa kuondoa kabisa kodi kwenye miamala. Tayari mnachukua VAT kwa kila bidhaa, kwa nini mtoze tena kwenye kulipia iyo huduma au bidhaa?

2. Kuondoa TOZO kwenye miamala ya simu
Ili kila mtanzania aridhia kulipia manunuzi ya bidhaa na huduma mbali mbali kwa kutumia simu au bank. Ilipaswa kurahisisha gharama za transactions hasa cross transaction kutoka benki kwenda kwenye mitandao ya simu e.t.c

3.. Kupunguza gharama za huduma za inrernet, transaction za kidijitali zinahitaji mtandao, kwa nchi jirani, RWANDA 1,000 wanapata GB 7. Kwa digital transaction mtu hafikirii kabisa. Hapa kwetu, ni ngumu kushawishi mtu awe na app anayo control pesa zake kama internet is not cost effective

4. Kwa wafanyabiashara, cashless inasaidia kutrack mapato kidigitali na kutunza rekodi kwa urahisi, lakini kama wateja hawatumii cashless services, bado serikali itapata shida kutrack mapato ya wafanya biashara

Tunzeni Uzi huu tupate majibu ya initiative hii mwaka kesho
Hapo kwenye gharama za miamala umegusa yaani kama NMB gharama zao ni kubwa sana
 
maendeleo huambatana na gharama, tusiogope mabadiliko 🐒
 
SIMU ZOTE AMBAZO ZITAKUWA ZINAPOKEA MALIPO MADUKANI ZIWE REGISTERD!....KWA NANNA YA KIPEKEE NAMBA YA SIMU IWEPO KWENYE LESENI!.....(KU-DIVERT MALIPO KATIKA NAMBA NYINGINE ADHABU IWE KUFILISIWA)
 
Back
Top Bottom