Google kuondoa kabisa mfumo wa kuweka laini za simu kwenye Google pixel

Google kuondoa kabisa mfumo wa kuweka laini za simu kwenye Google pixel

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,353
Reaction score
2,759
1_20250811_224112_0000.png


🗯️ Kuna tetesi zinasema toleo jipya la Simu toka Google yani Google pixel 10 series hazitakuwa na sehemu ya kuweka Sim Kadi kabisa.

🗯️ Simu mpya za Google pixel 10 series wameamua kuwekeza nguvu kubwa kwenye kuunda matoleo yenye kutumia mfumo wa Esim kadi na kuondoa mfumo wa kuweka laini za mitandao kwenye simu.

2_20250811_224112_0001.png


📶 Teknolojia ya Esim imekua kwa kasi sana kwa miaka ya hivi karibuni ambapo Apple kwenye matoleo yao mengi mapya ya simu wamekua wakitoa simu ambazo hazitumi mfumo wa physical sim kadi yani laini za kuweka badala yake wamekua wakitoa simu zenye kutumia Teknolojia ya Esim.

3_20250811_224112_0002.png


🗯️ Kwaiyo Google kwenye toleo jipya la simu zao tetesi inasema ina mpango wa kuondoa Matumizi ya watu kuweka laini za simu badala yake wawe wanatumia Esim kadi japo, wataleta simu zinazotumia physical sim kadi ila miaka ijayo wataondoa kabisa.

Vipi simu yako inatumia mfumo wa Esim kadi au bado unatembea na pini mpaka leo 😁.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom