Yiyu Sheping
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 1,720
- 850
Yeye alitoa angalizo kuwa dawa ina chemka, usishangae ukisikia moto ulizima hivyo haikuchemka. Kutoka vyeti kuwa kwa ofisi mpaka ugeni kutoka kijijini. Ndege wawili kwa jiwe moko.
Ndio watumushi wa dotikomu hao.
Na washawasha!
Ndio watumushi wa dotikomu hao.
Na washawasha!
Ok, fair enough.
Ila unajua kuwa Gwajima naye alidai kuwa anao ushahidi wa kuwa Paul Makonda anaitwa Daudi Bashite?
Sasa vipi na Gwajima naye...atuonyeshe huo ushahidi anaodai anao au yeye tumpe pass?
Manake kasema anao lakini hajatuonyesha...sasa what if kama anatudanganya tu?