Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,116
- 41,714
Picha muhimu SANAAAAAA 🤓Kusini yote ya moto, acha kufananisha watoto wa kusini na vitu vya ajabu..!! 😹😹
Kusini watu wamesusiwa misambwanda sio mpk uende uturuki..!!
Picha muhimu SANAAAAAA 🤓Kusini yote ya moto, acha kufananisha watoto wa kusini na vitu vya ajabu..!! 😹😹
Kusini watu wamesusiwa misambwanda sio mpk uende uturuki..!!
Kusini anamaanisha Lindi na Mtwara au hapa Mbeya? Dada zako ni visu Aiseeeee.Sio wahamiaji , jiji la arusha lina karibu robo tatu ya wakazi wote wa mikoa ya kaskazini.
Kusini ni wazuri sana , ila unaweza tembea masaa matutu ndio uwaone 😅
We Winga. Kusini unamaanisha Lindi na Mtwara au Nyanda za juu kusini including Mbeya? 😂😂😂Kusini yote ya moto, acha kufananisha watoto wa kusini na vitu vya ajabu..!! 😹😹
Kusini watu wamesusiwa misambwanda sio mpk uende uturuki..!!
Mimi sisemi hivyo kisa niwa kaskazini, naongelea uhalisia , mikoa mingi karibu robo tatu nimetembeleaKusini anamaanisha Lindi na Mtwara au hapa Mbeya? Dada zako ni visu Aiseeeee.
Niliishigi na kufanya kazi hapo arusha. Wacha bwana.
Nimekaa Arusha. Hilo usemalo ni kweli. Hata mi nimetembea karibia nchi nzima ila Arusha kuna watoto balaa.Mimi sisemi hivyo kisa niwa kaskazini, naongelea uhalisia , mikoa mingi karibu robo tatu nimetembelea
Huku kusini ungeshakufa na ukimwi kitamboNimekaa Arusha. Hilo usemalo ni kweli. Hata mi nimetembea karibia nchi nzima ila Arusha kuna watoto balaa.
Wakati wa ujana kama sijafa na UKIMWI wakati naishi Arusha, sisi tena na UKIMWI maana nimepiga sana mademu wa Sanawari, TIA, Simoni, Tengeru, Ungalimited Daraja 2, matejoo n.k 😂😂😂
Mgalala maana ake niniKapige mgalala kwanza akili ikukae sawa
Nini kifanyike ili hao warembo wawe equally distributed mikoa yote. Sisi wa Ntwara tunakosa mambo mazuri.Arusha ni mji umebeba warembo wa kirangi , kinyaturu kinyeramba, ki Iraq, kichaga , kisonjo ,kipare , kimangati , kimeru , ambapo inasemekana ndio makabila yenye wadada warembo pia
Wewe unaonaje?Nini kifanyike ili hao warembo wawe equally distributed mikoa yote. Sisi wa Ntwara tunakosa mambo mazuri.
Nimekaa Arusha. Hilo usemalo ni kweli. Hata mi nimetembea karibia nchi nzima ila Arusha kuna watoto balaa.
Wakati wa ujana kama sijafa na UKIMWI wakati naishi Arusha, sisi tena na UKIMWI maana nimepiga sana mademu wa Sanawari, TIA, Simoni, Tengeru, Ungalimited Daraja 2, matejoo n.k 😂😂😂
Wewe ni adui yangu lazima uponde so lamba Joker, stop! Kadi tatu 😹😹We Winga. Kusini unamaanisha Lindi na Mtwara au Nyanda za juu kusini including Mbeya? 😂😂😂
Masogange humjui? 😹Picha muhimu SANAAAAAA 🤓
Spoku miguu 😹Kweli kabisa ila usitizame miguu yao,
Kusini wana vishundu mbinuko, vifupi na pua zao pana km sketi ya solo🏃♀️🏃♀️🏃♀️. Nina sukari wandugu msiniueSio wahamiaji , jiji la arusha lina karibu robo tatu ya wakazi wote wa mikoa ya kaskazini.
Kusini ni wazuri sana , ila unaweza tembea masaa matutu ndio uwaone 😅
niliogopa kulisema hili 😅Kusini wana vishundu mbinuko, vifupi na pua zao pana km sketi ya solo🏃♀️🏃♀️🏃♀️. Nina sukari wandugu msiniue
We nyoko kusini ipi hiyo? 😹😹Kusini wana vishundu mbinuko, vifupi na pua zao pana km sketi ya solo🏃♀️🏃♀️🏃♀️. Nina sukari wandugu msiniue
Karibia majiji ya nchi hii nimetembeleamo,, arusha inao watoto wazuri, kati ya wanawake 10 basi 6-8 ni wakali wa kugeuza shingo. Ila mikoa mingine utapata 1 -3 basi hayo ya shape ni mengineyoSpoku miguu 😹
Hata shepu hawana mahi 🤣
😅😅😅sukari yangu imepandaWe nyoko kusini ipi hiyo? 😹😹
Nyanda za juu kusini wafupi?
Hii uongo aiseee..!!