Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 16,443
- 52,598
Wee hio ni mbaya.Unakutana na mdada ana sura ya malaika lkn tabia za shetan😂
Wee hio ni mbaya.Unakutana na mdada ana sura ya malaika lkn tabia za shetan😂
ChaiAisee huu mji ni una warembo vibaya mno. Nipo hapa stendi ndogo jirani na Kimahama yaani shingo inataka kukatika sijui ni wa mkoa gani hawa mabinti wa Tanzania, warefu weupe/maji ya kunde ngozi nzuri,African figure aloo unaweza kuuza ukoo. Jamani wanadaslama huko nitarudi in two weeks, sirudi mapema huko kunaboa!
Sijui hata imekuajeSijui hata kwanini umenitag 😂
Nilijua angalao uliona mbao,kumbe vyuma?Taifa lina uzwa hivyo hivyo shauri yako?Aisee huu mji ni una warembo vibaya mno. Nipo hapa stendi ndogo jirani na Kimahama yaani shingo inataka kukatika sijui ni wa mkoa gani hawa mabinti wa Tanzania, warefu weupe/maji ya kunde ngozi nzuri,African figure aloo unaweza kuuza ukoo. Jamani wanadaslama huko nitarudi in two weeks, sirudi mapema huko kunaboa!
Sijui hata imekuaje
Ni mbraaaya bablai ndo maana tuliosoma Arusha hutuelezi kitu kuhusu kuhama huku, au kama tumehama basi kila mwaka lazima tufosi kurudi japo mara 1 kwa mwaka💪Aisee huu mji ni una warembo vibaya mno. Nipo hapa stendi ndogo jirani na Kimahama yaani shingo inataka kukatika sijui ni wa mkoa gani hawa mabinti wa Tanzania, warefu weupe/maji ya kunde ngozi nzuri,African figure aloo unaweza kuuza ukoo. Jamani wanadaslama huko nitarudi in two weeks, sirudi mapema huko kunaboa!
Utaelewa tu we twende haste haste!Lakini kama naanza kuelewa 😂😂
Sema siku hizi hapa mjini kila mdada naona ana mzigo wa kwenda, uumbaji kuna namna umekua updatedSiku ukifika feri kwenye pantoni hiyo shingo itanyifoka kabisa.