Guterres atoa wito kwa nchi za Magharibi kulipa fidia Waafrika kutokana na biashara ya utumwa

Hivi sasa wanatusababishia utumwa wa kitaaluma na ukoloni wa kimfumo hio sio dhambi yao? Wanapaswa kupelekwa mahamani
 
jinai ya utumwa inaanza na watemi na wafanyabiashara weusi waliokamata weusi wenzao na kwenda kuwauzia wazungu kwa kule west africa na waarabu na wareno kwa east africa.
Mwarabu alikuja Afrika Mashariki kama mfanyabiashara, hakuwahi kuja na jeshi kupigana na wenyeji ili kukamata watumwa, hata kama alifanya hio biashara ya utumwa lazima ujiulize hao watumwa aliwapata vipi wakati hao waarabu walikua wanakuja wachache kutuuzia shanga ili na bibi zetu nao wapendeze.
Hata katika hizo picha za uongo za kutungwa zilizochorwa zinazo onesha hio misafara ya watumwa huwezi kuona waarabu wamezidi wanne wanao simamimia misururu ya watumwa.
Jiulize hao waarabu wanne walikua wanapataje hio misururu ya mababu zetu kama sio machifu wetu wenyewe ndio walikua wanawauzia hao watumwa?
Hii biashara imefanywa zaidi na machifu wetu wenyewe ila tuhuma zote anabebeshwa mwarabu.
Katika hili tuache unafiki mtu wa kwanza anaepaswa kulaumiwa ni watemi na machifu wetu wenyewe, wao ndio walikua waanzilishi wakubwa wa hii biashara ya utumwa, vita vya makabila vilikua haviishi na watu waliouwawa kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe walikua ni maradufu zaidi kuliko hata hao waliopelekwa utumwani.
Mwanzilishi wa biashara ya utumwa Afrika mashariki ni Muafrika mwenyewe.
Kabla ya kuanza kuwalaumu wageni yatupasa tuwalaumu kwanza machifu na watemi wetu wenyewe waliokua wanawaua na kuwauza waafrika wenzao kwa wageni.
 
watu weusi always tunatafuta chaka la kuwatupia lawama juu ya matatizo yetu. Sisi ni mizigo hapa duniani, vigeugeu, wanafiki wakubwa, wabaguzi wakubwa, wavivu na wachawi.
 
Mar 26, 2024 10:52 UTC

Guterres atoa wito kwa nchi za Magharibi kulipa fidia Waafrika kutokana na biashara ya utumwa.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kulipwa fidia watu waliosafirishwa kwa njia haramu kama watumwa kutoka Afrika hadi katika nchi za Bahari ya Atlantiki.

Katika taarifa yake kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Kuwakumbuka Wahasiriwa wa Utumwa na Biashara ya Utumwa katika Bahari ya Atlantiki, Guterres amesema utumwa "uliweka misingi ya ubaguzi wa kikatili unaozingatia utawala wa Wazungu ambao bado unaendelea hadi leo."

Kuanzia karne ya 15 hadi 19, Waafrika wasiopungua milioni 12.5 walitekwa nyara, wakasafirishwa kwa lazima kwa meli na wafanyabiashara Wazungu wa Ulaya, na kuuzwa utumwani. Wale walionusurika safari hiyo ya kikatili waliishia kuhangaika kwenye mashamba ya Amerika, hasa Marekani, Brazil na Karibea.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema: "Wengi wa wale waliopanga na kuendesha biashara ya utumwa katika Bahari ya Atlantiki walijikusanyia utajiri mkubwa. Wakati huo huo, watumwa walinyimwa elimu, huduma za afya, fursa na ustawi."
Naunga mkono hoja Kwa sababu hata Poland imeitaka Germany kulipa fidia Kwa sababu za maswahibu ya vita ya Hitler.

Kuomba radhi haitoshi ,tunataka pesa.
 
Bro acha ubishi ulishawahi sikia Zanj rebellion huko middle East kwa hao unaowatetea au unamjua tipp tippu
Hawa Jamaa akisemwa Mwarabu tu wanafikiri inasemwa Dini wakati katika hao Waarabu kuna Wakristo nk.

Wamekuwa Brain Washed.
 
Waarabu waliwahasi kikatili watumwa wote wanaume kama ng'ombe ili wasiweze kuzaliana na baadae nchi zao kuwa na watu weusi kama ilivyo Marekani na mataifa mengine ya Latin America.

Waarabu sio watu labda wale walio kufa tu ndio wanaweza kuwa watu na hadi leo mabinti wanaopelekwa kufanya kazi za ndani huko uarabuni hufanywa kama watumwa. Waarabu bure kabisa.
 
Back
Top Bottom