Guess!!! Mhe. alikuwa anaambiwa nini . . . . ?!!

Guess!!! Mhe. alikuwa anaambiwa nini . . . . ?!!

Mstaafu:Nakushangaa unavyojenga jenga Msoga na Dar ,njoo Lushoto uone kitu cha hatari..
Wasasa:eeh eehh wacha bwana..
 
ndo ukubwa huo bwana mdogo. Si ulikatazwa na mdingi! Ukang'ang'ania ukidhani hii ni kazi ni kama kula arua na tende jamvini, utajiju!
 
Wewe vipi mbona unakusanya kodi nyingi halafu hufanyi kitu wa wapi wewe?
 
"Tatizo umeviacha vyombo vya habari vikuanike mno! Si unakumbuka ile picha ya ze uchungu?"
 
Sikiliza Dogo! fukuza wazee wote kwenye chama, weka chekechea watupu ndo chama kitaenda.
 
Dogo wewe mrefu kuliko mimi lakini akili zako ni fupi sana! Komaaa we kilaza!
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Mshkaji UDOM kuna vibinti bomba njoo nikurekebishie
 
Kuwa makini na hawa wapinzani! Ikiwezekana piga risasi!!
 
Si uliulilia 'URAHISI' na ukatishia hata kuzira ? haya nipe habari baada ya miaka 6 nani alikuwa sahihi wewe au sisi ?
 
Back
Top Bottom