Guess!!! Mhe. alikuwa anaambiwa nini . . . . ?!!

Aisee Mkapa mbona umevaa suti ya kutungua from Tandale?? Next time Kikwete will bring him a nice one when he returns from his endless vacations...
 
Tatizo lako dogo, unasafiri kwenda nchi za nje mno halafu unaacha wananchi gizani...halafu kwanini umekubali yule mtu muhimu aliyewezesha ukawa raisi 2005 amejiuzulu? CCJ watakukwamwisha sasa, fanya haraka mteue RA katibu mkuu wizara ya nishati na madini tuendelee kupata ile 10% yetu..

Daah
Wadau hiz comment zenu zinaniacha mbende-mbende
Yaan RA katibu wa Nishati?? Mbona zile Mil 50 zilizoombwa kila idara zitakuwa Mil 200?
Halafu tuone kama akina Shelukindo watachomoa kwa Em 200
 
We dogo kazi yako kuhudhuria maharusi, kusafiri nje ya nchi kila siku na unajisahau mno, unawaibia wananchi waziwazi bila kificho, enzi zangu mi niliwaibia kijanja ndo maana chama hakikutetereka. Acha ufala piga kazi baab, sio unachekacheka tu na kuwekeza mademu kila mkoa, wekeza pesa, **** we.

Aiseeee . . . .
Hii sasa balaa
 
]Aisee Mkapa mbona umevaa suti ya kutungua from Tandale??[/SIZE] Next time Kikwete will bring him a nice one when he returns from his endless vacations...

Mbona iko fresh tu hiyo suti Mkuu??
 
Mbona iko fresh tu hiyo suti Mkuu??
Namshanga Leonardo hiyo ni designer suit na siyo chini ya dola elfu.Halafu suit ya Mkapa haina ule mpasuko wa pembeni au nyuma ya suit(in fashion) ya JK ina mipasuko miwili ya pembeni-out of fashion a total NO,NO!
 
hivi wewe dogo unaona raha gani kuwa na mademu kibao?
mbona mimi nina mmoja na ninatosheka?
 
we dogo, urais sio kula mademu tu hapa mjini, ni pamoja na kutatua matatizo ya wananchi wako, acha kuongoza nchi kwa kutumia kauli mbinu, umeshatuchosha, kumbe wewe ni bonge la kilaza...
 
Nilikuonya mapema kuendesha nchi inahitaji ubabe unaona sasa upole wako umekuponza watu wako wa chini wanajifanyia mambo wanavyotaka wao na si wewe fukuza! akina Rowasa,Chenge,Ngeleja walikupa nini kijana? Rostam mrudishe kwao haraka!
 
kama virugu hizi zimekufika shingoni..fanya kama maraisi wengine...KAMATA ,,TIA NDANI!!!Wote watakuheshimu wewe dogo!!!AMKA!!!!
 
kama vurugu zimefika shingoni...fanya kama marais wengine...KAMATA,,TIA NDANI,,wote watakuheshimu.wee dogo...AMKA!!!!!
 
Watanzania uzalishaji wao bado chini sana, hiki ndio kitu lazima uangalie. Ni lazima kutafuta mbinu za kubadili uwezo wao mkubwa wa uzalishaji wa porojo na maneno mengi na kuelekeza kwenye kuchapa kazi na kukuza uchumi wa nchi kwa manufaa ya wote.
 
Back
Top Bottom