Guess!!! Mhe. alikuwa anaambiwa nini . . . . ?!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Guess!!! Mhe. alikuwa anaambiwa nini . . . . ?!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by CPU, Jul 18, 2011.

 1. CPU

  CPU JF Gold Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Untitled.jpg

  Yaani vitu vidogo kama hivi vinakutoa jasho???
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hayo mambo ya KIWIRA achana nayo!
   
 3. CPU

  CPU JF Gold Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Na wala usisikilize udaku wa magazeti . . . . .
   
 4. CPU

  CPU JF Gold Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  "Tatizo la Umeme kwangu lilikuwa sawa na kuimeza punje ya mchele . . . . "
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mfukuze ROSTAM NA LOWASA wamekuharibia sana
   
 6. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Bwana mdogo be tough!! Whatz wrong??
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Dogo nenda kapumzike kwenye hotel yako kule Bilila Lodge achana nao, walikubali kula majani sembuse umeme, si kuna vibatari..........
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Nilikuambia dogo kila kitu weka CONFIDENTIAL kama mimi wananchi watakuponda

  lakini hawatakuchukia saana.... Naona unajuta kuachia File zoote zile za EPA, nanihii, nanihii na nanihii....
   
 9. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  uko busy kama raisi wa us? Nawe uwe unasafiri kimya kimya, hamna haja ya wa-tz kujua.
   
 10. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Nchi umeshindwa kuiongoza na unasafirisafiri sana, au umesahau kuwa wewe ni rais na si waziri wa mambo ya nchi za nje?
   
 11. F

  FUSO JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  Usipokuwa makini mdogo wangu nchi inakushinda
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  "Wewe Jakaya mwana diplomasia kama mimi, lakini wakati mwingine inatakiwa uwaminye kokwa zao kidoogo, wakujuwe wee nani, umezidi upole".
   
 13. F

  FUSO JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  View attachment 34067

  Usipokuwa makini mdogo wangu CCM watakun'goa kabla ya muda, kinachotakiwa watose washikaji zako fasta fasta kama nilivofanya mimi enzi zangu urudishe imani ndani ya chama. Pia CDM wanakuja juu kwa kasi ya ajabu na wana support ya wananchi so kuwa makini ila nipo kukusaidia usijali. Safari za nje kupunza kidogo hii miaka iliyobaki hebu maliza soo la umeme, TRL na ATC.
   
 14. C

  Campana JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naona unapendapenda kubembea, maana kila mara kiguu na njia kwenye madege. Vipi dogo hukusoma chekechea?Kwani pale Lugoba baba yako alikuandikisha ubembee au uuze sura?
   
 15. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Dogo unaendelea na hotuba za kila mwisho wa mwezi zitazidi kukuharibia achana nazo....te te te te
   
 16. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  'Tatizo lako huna akili kucheka cheka tuu ndo maana hata wakinakubenea na Jf wan
  akupopoa kila kukicha!' Komaa kiume na kama wakikuzingua wapoteze!
   
 17. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Na wa Kike awafanyeje?
   
 18. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Waite tena wale NET GROUP uone kama atakohoa mtu!
   
 19. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ile chenji ya Radar haijaletwa bado? ikiletwa usinisahau bwana si unajua mimi sasa ni mstaafu na mradi wangu kule kiwira mmeshanizulumu. Sina pesa si unajua hivi vibinti vinasumbu oh mara mzee sina hela leo mara nahitaji 2,000,000 eh! mara nataka kwenda shping na marafiki zangu nahitaji 5,000,000/- nk
   
 20. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Pull up your socks my friend, umeme in suala nyeti usilipotezee.
   
Loading...