Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

achana na hao makanjanja wengi ni viroba,bangi na unga. hufurahia vifo vya wengine kwa tamaa ya kitu. RIP (kila kiumbe kitaonja mauti)
Poleni sana wafiwa.

Baada ya yote, sisi wote ni watanzania. Tofauti zetu kisiasa hazihusiani
na misiba kama vile makamanda wa Chadema walivyokuwa wakimuombea kifo
Waziri Mbawala jana, leo kwangu kesho kwako.
 
Grace Mbowe mwanamama aliyedaiwa humu Jamvini kuhamia CCM wilayani Hai Amefariki kwenye ajali mbya iliyotokea Kabuku mkoani Tanga mapema asbuhi hii.

Tutaendelea kuwajuza zaidi.
to taarifa ya msiba siyo kuingiza siasa tena. R.I.P marehemu wote
 
Nimechoka kusikia ajali zinakatisha uhai wa watu ambao familia, jamii na taifa linawahitaji. Uchaguzi ujao tunahitaji kuona ILANI za vyama zikibainisha wazi ni kwa jinsi gani tatizo hili litapunguzwa kama sio kuisha. Kwa hili la ajali sitaki kumuhusisha Mungu, lililo muhimu tutumie maarifa aliyotujaalia Mwenyezi Mungu.
 
Poleni sana wafiwa.

Baada ya yote, sisi wote ni watanzania. Tofauti zetu kisiasa hazihusiani na misiba kama vile makamanda wa Chadema walivyokuwa wakimuombea kifo Waziri Mbawala jana, leo kwangu kesho kwako.

ukifuatilia kwa undani unaweza kukuta alikuwa mbioni kugombea kiti fulani CCM baada ya kushawishiwa kuhamia CCM sasa mhhh! Pole kaka F.A MBOWE kwa kuondokewa na dada yote ni mipango ya muumba.
 
Grace Mbowe mwanamama aliyedaiwa humu Jamvini kuhamia CCM wilayani Hai Amefariki kwenye ajali mbya iliyotokea Kabuku mkoani Tanga mapema asbuhi hii.

Tutaendelea kuwajuza zaidi.
kwa nini watu wanaodhaniwa wanaweza kuanika siri za CDM wanafariki kwa ajali? This is the second person after CHACHA WANGWE.
 
Mungu aziweke roho za marehemu mahali wanapo stahili.

Hakika wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake hatuna budi kurejea, ni suala la wakati tu.

WITO : MADEREVA TUWE MAKINI BARABARANI.
 
Kishu, toka kwenye majitaka njoo huku kwenye real world! Toka kishu, kishu toka plz, am crying for you plz!
Kwa kiasi fulani kasema jambo la kutafakari, tusibeze, kwa nini baada ya kuondoka CDM?
 
ukifuatilia kwa undani unaweza kukuta alikuwa mbioni kugombea kiti fulani CCM baada ya kushawishiwa kuhamia CCM sasa mhhh! Pole kaka F.A MBOWE kwa kuondokewa na dada yote ni mipango ya muumba.
Ndio maana tunawaomba polisi wachunguze kwa karibu sana hii ajali, nina wasi wasi sana na hawa chadema, wako tayari kufanya lolote hawa, hakuna tofauti kati yao na alshabaab
 
kwa nini watu wanaodhaniwa wanaweza kuanika siri za CDM wanafariki kwa ajali? This is the second person after CHACHA WANGWE.
Najiuliza sana, ila nachojua ni kuwa kuna kilio kikubwa sana cha watz wengi kuhusu maisha yao, you never know, God may intervenes anyway! Bado najiuliza!
 
Ndio maana tunawaomba polisi wachunguze kwa karibu sana hii ajali, nina wasi wasi sana na hawa chadema, wako tayari kufanya lolote hawa, hakuna tofauti kati yao na alshabaab

huyu lazima atakuwa aliondoka na siri nzito ndani ya CDM.
 
Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi AMINA.
 
kwa nini watu wanaodhaniwa wanaweza kuanika siri za CDM wanafariki kwa ajali? This is the second person after CHACHA WANGWE.

Achana na maneno ya washinda vibarazani! Poleni wanafamilia wote wa Mbowe kwa msiba huu mkubwa wa mwanafamilia,mume wake na mtoto!
 
Mimi sio kama makamanda wanaochekelea ajali za wana CCM na kuwaombea wafe.

Lakini pia nawaomba polisi wachunguze mazingira ya hii ajali, isije ikawa ya Chacha Wangwe tena, si unajua dada alihama chadema na kujiunga na CCM?????

nlikua nasubiri tu uropoke. . .ktk ajali yoyote polisi lazima wafanye uchunguzi huo ndio utaratibu, pili mtoa habari hajaeka picha that mean bado hatuna uhakika na habari tatu kadi ya gari inaweza ikawa ya grace mbowe ila anaweza akawa kamuazima mtu na hayuko kwenye gari. . .wengi hatukimbilii kusema r.i.p hi habari inaweza kua imetoka hata lumumba.
 
Mungu aziweke roho za marehemu mahali wanapo stahili. Hakika wote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake hatuna budi kurejea, ni suala la wakati tu. WITO : MADEREVA TUWE MAKINI BARABARANI.
Ahsante sana mkuu kwa hekima zako, ila umesahau kutaja CDM! Ahsante!
 
kwa nini watu wanaodhaniwa wanaweza kuanika siri za CDM wanafariki kwa ajali? This is the second person after CHACHA WANGWE.

Naona hujaelewa maana ya JF. Jaribu kuongeza reasoning yako;
Join Date : 24th September 2013
Posts : 23
Rep Power : 305
Likes Received 3
Likes Given 0
 
Lala Salama Grace! Mungu atakufufua siku ya mwisho!
1.20 Ndipo Ayubu akainuka, akalirarua joho lake, kisha akanyoa kichwa chake, na kuanguka chini, na kusujudia;
1.21 akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana na libarikiwe.
 
Liccm limoja linapokufa hata malaika wanashangilia, huwa sisikitishwi na kifo cha liccm lolote lile kwani maccm yote yameshapoteza ubinadamu akitoka Lucifer wao ndio wanafuatia.
 
Back
Top Bottom