Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

Hapana ni cha Salome Mbati, Amina Chifupa na Sokoine

"In politics, nothing happens by accident. If it happens, you can bet it was planned that way." - Franklin D. Roosevelt
 
Kiuhalisia mwezi wa tisa unaitwa ni mwezi wa shetani
mabalaa yote hutokea mwezi huu, mwezi huu huwa una vifo vingi sana

Sijawhi kuona sura yeyote inaonyesha kuwa Mwezi Tisa ni shetani kwenye biblia . Mungu Miezi yote ni Yake tusimpe nafasi shetani katika maisha yetu. RIP
 
Kiuhalisia mwezi wa tisa unaitwa ni mwezi wa shetani
mabalaa yote hutokea mwezi huu, mwezi huu huwa una vifo vingi sana


Kwa hiyo sisi tuliozaliwa September tuseme nini?

Kumbuka great thinkers wengi wamezaliwa mwezi wa tisa
 
RIP waliotangulia kwenye haki.

Swala la ajali barabarani kila mara linatokea na maisha yanapotea na tunabaki kusema mwenyezi mungu ndiye mwamuzi etc ..... NAY! A big NO. Niliandika hapa karibu miaka mitatu kama sikosei kwamba Serikali yetu hailipi kipaumbele swala la usalama wa raia wake wanaotumia barabara na mali zao pamoja na maisha yao. Hatuwezi kuwa na ajali kama hizi na Watanzania kupoteza maisha bila kuwa na chombo ambacho kipo makini kuona (a) Ajali zinapungua, (b) kuhakikisha magari yanayoendeshwa kwenye barabara zetu yapo katika viwango vinavyokubalika ambavyo tumejiwekea i.e. matairi ni salama, engine ya gari ipo sawa, mikanda inafungwa kwa abiria nk (c) ukaguzi wa kila gari unafanyika kila mwaka kwa magari ambayo ni zaidi ya miaka mitatu tangu yalipoundwa (d) madereva wanaoendesha huku wamekunywa pombe au kutumia vidonge wanafutiwa license zao n.k.

Watanzania wataendelea kufa kama nzi kama hatua za dhati hazitachukuliwa na serikali kuona barabara zetu sio makaburi.

BTW Majembe Auctions walipopewa tenda ya ukaguzi wa magari etc. Je, wana uzoefu wowote au qualification zozote za highway code? Je serikali haioni aibu kuona kwamba sheria tunazojiwekea hazifuatwi? Its high time this government should be taken to court to answer for its failures.
 
WanaJF eleweni jambo yaani hakuna binadamu ambaye thamani ya uhai wake ni zaidi ya mwingine, naona kwa taarifa hii wengi mnasema R.I.P Grace Mbowe pekee ikiwa waliokufa ajalini ni watatu zaidi acheni matabaka kisa status ya mtu kabla. Poleni waTanzania wenzangu kwa kufikwa na msiba huu
 
Kwani alipoenda CCM amefika na kutangaza nia ya uongozi wowote ule? Maana hayo maccccm ni hatari unatakiwa utangaze nia at last sana,
Tena ukiwa umeshazuru kwa bibi na babu mara kibao.

Mkuu hili nalo neno!

Nimekuelewa!
 
Duh! Pole sana wafiwa na mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom