Goodmorning JF...

Skamoo Uncle, sasa leo nimechanganyikiwa... chai au bia?
images
kaiserbeerfasstypbottle.jpg

Thank you Mwali....kwa heshima yako, nairudisha Avatar hii kukuenzi.

hapo nitaanza na chai (kind of addicted), then baadaye jioni I will have a glass. Did you like the apple nilikuletea jana?
 
Darling, na shughuli yote ya usiku umeweza kuingia humu?

Halafu acha tabia yako ya kusumbua wake za watu usubuhi usubuhi!
Dah kweli ulikuwa umechoka...pole...
Kwani honeymoon inaendelea na leo???
 
Thank you Mwali....kwa heshima yako, nairudisha Avatar hii kukuenzi.

hapo nitaanza na chai (kind of addicted), then baadaye jioni I will have a glass. Did you like the apple nilikuletea jana?
Very much Uncle... Na nilichopenda zaidi ni ability yako ya kukumbuka kua napenda fruits kuliko chocolates... ;)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom