Goodmorning JF...

Habari za asubuhi jamani mwenzenu nimeamka na mimi kidogo viungo vinaleta mgogoro kidogo
 
Hapa kuna nini? Salamu, kungfu, ndoa kujibu au matofali?:shock:
Heshima yako big shem,
Hapa ni ww tu na asubuhi yako ilikuwaje basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Km ulilazwa mzungu wa nne unafunguka tu hahahahha!
BTW,BIG SISY hajambo?
 
Hivi saa ngapi vile na mwisho wa asubuhi ni saa ngapi vipi
Kama bado muda upo good morning
 
Hahahahahaaaa kweli hata mi nshaona huu ni uteja..dah hadi watu wanawasahau wapenzi wao na Hone muni....teh
Hahahah hahaha,
Mie wangu sijamsahau nimejilaza kifuan kwake na kisim changu nachat jf lol!
Hata sijui dawa gani ya kutibu haka kauteja lol!
 
Heshima yako big shem,
Hapa ni ww tu na asubuhi yako ilikuwaje basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Km ulilazwa mzungu wa nne unafunguka tu hahahahha!
BTW,BIG SISY hajambo?

Hajambo kabisa....nililala vizuri tu, ila nimeshangaa sasa hapa kuna kila aina ya mvurugano.....naona upo hane muni, hiyo pua ya Rejao fanya kuipunguza....halafu mpunguze kwenda kwenye Noah...sio nzuri kwa afya lol
 
Hahahaha hahahahha,
Shem bana,huu mpua una raha yake atiiii,siupunguzi wala nn!!
Hayo mengine mezea,Noah ni nzuri sn kwa afya lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom