nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,909
Hizi good morning za saa kumi jioni aah...
Watu wengine ndio wanaamka, hujambo mdada weye
Hizi good morning za saa kumi jioni aah...
Dah kupendwa raha aisee
Hizi good morning za saa kumi jioni aah...
Watu wengine ndio wanaamka, hujambo mdada weye
Hajambo shikamoo
hasa ukimpata anayejua kupenda alafu ukawa unapendeka!
Eh mbona spidi hivyo erick nimekosea njia nini?
Haswaaa ila moyo ni kiza kinene. Hivi umemuona wapi Sweetylady maana hapa nazunguka kumtafuta simuoni
Hahahahaaaaa imekula kwako....mtafute na Bishanga...ukiwakosa wote kalale coz itakuwa ishakula kwako....then niombe msaada kuwatafuta
Teh kaka nimemsaidia tu kujibu....hahahahaaaa
Haswaaa ila moyo ni kiza kinene. Hivi umemuona wapi Sweetylady maana hapa nazunguka kumtafuta simuoni
Bishanga alinitip kuwa atatoka na bibie...so mi nahisi ni SweetLady...anyway mtafute hope watakuwa washamaliza shughuli....pole nitonyeInaonekana b52 umechonga mchongo na bishanga yaani roho inauma, kuna picha mbaya inajia usoni yaani kama nawaona hivi
Inaonekana b52 umechonga mchongo na bishanga yaani roho inauma, kuna picha mbaya inajia usoni yaani kama nawaona hivi
b52 ya kweli hayo isije ikawa mzee mzima tayari umeshaomba hifadhi
Bishanga alinitip kuwa atatoka na bibie...so mi nahisi ni SweetLady...anyway mtafute hope watakuwa washamaliza shughuli....pole nitonye
Hujui kuwa leo wikiend??
Halafu mambo ya kunirusha roho siyapendi kabisa unataka nikapige ndovu sasa hivi zianze kusafiri mwilini?
Mimi hapana...moyo ni km giza tu...huwezi ona kitu.....hahahahaaaa
Hebu weka thread ya kumtafuta sweetyLady
Kwani ukinywa ndovu ndo utampata SL?? Zaidi utakuwa umempa nafasi ya kulala hukohuko.... Hahahaha nakudanganya bwana, kamcheki kwa Cantalisia au Kabakabana...
pombve ya ninji mkuu si ukanywe maziwa tu uuondoe sumu mwilini?Halafu mambo ya kunirusha roho siyapendi kabisa unataka nikapige ndovu sasa hivi zianze kusafiri mwilini?