Goodmorning JF...

Goodmorning JF...

Hahahah hahaha,
Mie wangu sijamsahau nimejilaza kifuan kwake na kisim changu nachat jf lol!
Hata sijui dawa gani ya kutibu haka kauteja lol!
dawa ni kutumia NOKIA KITOCHI...hutaweza kuunga na internet...
 
dawa ni kutumia NOKIA KITOCHI...hutaweza kuunga na internet...
Asa ule mda niliokuwa natumia kuingia jf nitafanya nn maana du!!!aisee ni ngumu kusahau jf jaman,
Jana usiku ilipotea kwa muda tu lkn nilihisi nimekosa aman kbs lol!
 
Asa ule mda niliokuwa natumia kuingia jf nitafanya nn maana du!!!aisee ni ngumu kusahau jf jaman,
Jana usiku ilipotea kwa muda tu lkn nilihisi nimekosa aman kbs lol!
Dah we ishakula kwako....huna ujanja coz ukiamua kutumia kitochi lazma utalazimika kwenda internet cafe walau twice a day au kutembea na laptop...hahahahaaaaa jooob true true
 
Dah we ishakula kwako....huna ujanja coz ukiamua kutumia kitochi lazma utalazimika kwenda internet cafe walau twice a day au kutembea na laptop...hahahahaaaaa jooob true true
Yani ww acha tu,hiki kimchina changu kinanipa raha sana mda wote nimelogg inn!hahahah,
Raha wakati wote lol!sikiachi aisee nishakubali kuwa teja!!
 
Yani ww acha tu,hiki kimchina changu kinanipa raha sana mda wote nimelogg inn!hahahah,
Raha wakati wote lol!sikiachi aisee nishakubali kuwa teja!!
teh mchina making life better.....wameanza kuleta hadi mayai ya kichina....na MAPADRI wa kichina
 
Mapadri,hahahha hahahha hahaha,inafaa kule jokes lol!!!!
Hahahahaaa unajua ilitokea kweli huku Arusha kanisani Kisongo jumapili moja...alikuja padri mchina halafu akajishtukia...akasema "Najua mnashangaa kuona padri mchina kwa kuwa hamjawahi kumwona" Teh kanisa zima likazizima kwa vicheko na furaha coz wote hatukuwa tumewahi kumwona padri mchina.....duh it was very funny
 
Hivi saa ngapi vile na mwisho wa asubuhi ni saa ngapi vipi
Kama bado muda upo good morning

Heeh nimekubamba, unafanya nini hapo??? Angalia majira kama mshale mdogo umepitiliza kwenye 12 basi usubuh imeisha.
 
Biya zipo?
Skamoo Uncle, sasa leo nimechanganyikiwa... chai au bia?
images
kaiserbeerfasstypbottle.jpg
 
Hahahahhahah,
Ya udongo au simenti?
Hongera zako,kwan asubuhi tayari hiko?sie huku bado usiku aisee!!

ya udöngo kipenzi,simenti imepanda bei.Nishamaliza kazi,sasa hivi nashushia na safari lager.
 
Back
Top Bottom