sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Hahaha! Alijikongoja mpaka pale ngarenaro nikaenda kumchukua hapo,,, afu hajakunywa banana jamani!..aaah wapi..Nitonye?..nilimuacha anakunywa banana kule kwa Moromboo atakuwa kashindwa kuona njia ya kurudia.......hahahahaaaaaa banana nomaaa