Goodmorning JF...

hahaha kumbe dawa ya mgongo ni jogging umenifundisha..[/QUOTE
]
hehehe dawa ni nyingi tu inategemea sasa mgongo unauma sehemu gani katikati,chini,pembeni au karibu na shingo

Haya sasa endelea na pushup!
Ntakuhesabia ukicheza!

Haya endelea,juu,chini,juu zaidi,chini kidogo.
Uko safi kidogo!
Kesho tena mazoezi kama kawa kwn unafaa we mtoto!

Pamoja Tutafika!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom