Goodmorning JF...

Goodmorning JF...

Inaendelea bado...kila siku inazidi kunoga! Sijui itaisha lini aisee!!

My swty huby,c unajua tena uteja wa jf,fungate letu halina mwisho ni raha tu bila kikomo,ulipenda nguo nilizokuandalia mme wangu!
 
Mmh ngoja mkae miaka 5 na kuendelea kama mtaendelea kuwekeana hzo nguo...
 
Hahahahaaa kwanza utakuta saa hizi kaenda honeymoon na Jane000 hahahhahahaaa wakizaa mtoto km Jane000 kwisha habari yao

Kwa taarifa yako rejao wangu hana tabia za kamerun,uliemtaja co jinsia ya kike!ictoshe password ya pale mahala nnayo mie hahahaha!
 
Password ya wapi binti mtambuzi mbona wantia shaka!
 
Kwa taarifa yako rejao wangu hana tabia za kamerun,uliemtaja co jinsia ya kike!ictoshe password ya pale mahala nnayo mie hahahaha!
Teh kumbe uko makini kujua wabaya wako eeh akupe password penzi lake liwe hatarini?? Labda ya Fb
 
Hahahahaaa kwanza utakuta saa hizi kaenda honeymoon na Jane000 hahahhahahaaa wakizaa mtoto km Jane000 kwisha habari yao

Mkuu huyo jane mbona utata si anaweza kumgeuzia kibao rejao?
 
Back
Top Bottom