Gengis Khan wa JF karejea, Adriz naye karejea 🤔

Gengis Khan wa JF karejea, Adriz naye karejea 🤔

Nadhani hawa jamaa wamefungwa kwa kutumia kamba moja, wakienda wameenda wote, wakirudi wamerudi wote. Wakipotea wamepotea wote....wote! 🤔

adriz, Gengis Khan wa Jf mapacha walioungana🔥
Ni jambo jema watu kurejea , huenda ni coincidence tu . Hata kuzaliwa watu huzaliwa siku moja na wapo Wana Jf wengi Tarehe zao za kuzaliwa zimefanana
 
Alitekwa na watu wasiojulikana.
1000062869.jpg

Alipewa khanga😄😁
 
Back
Top Bottom