Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
HahahaaaaWanamgombania kabisa yani
Ukicomment kumdis mama Samia Chadema watakuparamia mpaka utajuta kuzaliwa.wafuasi wa CCM wenye Samia wao wakija wanakuta Chedema washamaliza kazi
hiii maweeee
Kweli kabisa aisee!
Hahahahahaaa.
Aliyewaita nyumbu hakukosea.