Godless Lema amuomba Rais Mpya Samia Suluhu kuchunguza ofisi ya DPP na BoT

Magufuli alikuwa zao la mfumo ambao baada ya upinzani kutukana sna Kikwete mfumo ukaona nyie siio wa kuwachekea

Kikwete aliwachekea hadi akawahonga chai ikulu muache wala hamkuacha

Msidhani Mama Samia atarudia kosa la Kikwete aliyewachekea hadi mkaitisha migomo ya madaktari kupitia akina Ulimboka na Mashinji wengi wakapoteza maisha ikiwemo shangazi yangu kwa kukosa huduma

Raisi Mama Samia atajijua akiwachekea nyie shukrani hamna nyie
Pole kwa povu...litawatoka sana hadi mkaukiwe.
 
Mtanyooka tu bado tunaendelea kuwanyoosha kama kawaida. Hakuna kurudi nyuma uuzaji madawa na ufisadi wenu haukubaliki tena Mama Samia anaendeleza mapambano kama kawaida. Sasa naona mnacheza mdundiko bila kujijua.
Mdundo ni uleule CCM no 1
 
Magufuli alikuwa zao la mfumo ambao baada ya upinzani kutukana sna Kikwete mfumo ukaona nyie siio wa kuwachekea

Kikwete aliwachekea hadi akawahonga chai ikulu muache wala hamkuacha

Msidhani Mama Samia atarudia kosa la Kikwete aliyewachekea hadi mkaitisha migomo ya madaktari kupitia akina Ulimboka na Mashinji wengi wakapoteza maisha ikiwemo shangazi yangu kwa kukosa huduma

Raisi Mama Samia atajijua akiwachekea nyie shukrani hamna nyie
Mtakuwa suprised
 
Huyu ndo rais wanayemtaka wapinzani ama tusubiri??
Mimi nadhani tusubiri. Upanzani wao shida yao kubwa ni kuattack viongozi, hasa Magufuli walimuataki sana badala yake wakajikuta Magu anakubalika na wananchi kwa kazi zake safi, na hapo ndipo walipoishiwa nguvu. Wao badala ya kuwa na sera nzur zitakazo wadefine wao kama upinzani wao wakijikita mda mwingi kumuattack JPM. Sasa leo JPM hayupo hawajui waanzie wapi, wameanza kumuomba Mama Samia atekeleze mahitaji yao, hasipofanya hivyo na yeye hawatakawia kumuaatack.
 
Nitakua na imani walau na huyu Mama endapo

Ataitisha mchakato wa kupata katiba mpya..na ikapatikana

Kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi..

Akiweza hivyo atakua amekua mwanaccm wa tofauti sababu naamimi siku zote CCM ni ile ile mbwembwe kibao ila hakuna jipya!

Ila itapendeza sana mama akiwanyoosha wale wapambe wa jiwe sijui matokeo chanya,Tanzania mpya,MATAGA , na matarumbeta mengineyo hatuwezi kua na mambo ya kusifia hata ujinga hii haikubaliki !
Kwa akili yako unafikri hao wapambe wa jiwe hata wakinyooshwa mtakuwa mnakula ugali dagaa kila siku sawa na wewe?
 
Magufuli alikuwa zao la mfumo ambao baada ya upinzani kutukana sna Kikwete mfumo ukaona nyie siio wa kuwachekea

Kikwete aliwachekea hadi akawahonga chai ikulu muache wala hamkuacha

Msidhani Mama Samia atarudia kosa la Kikwete aliyewachekea hadi mkaitisha migomo ya madaktari kupitia akina Ulimboka na Mashinji wengi wakapoteza maisha ikiwemo shangazi yangu kwa kukosa huduma

Raisi Mama Samia atajijua akiwachekea nyie shukrani hamna nyie
usimpangie mama.mamahapangiwi
 
Kwa akili yako unafikri hao wapambe wa jiwe hata wakinyooshwa mtakuwa mnakula ugali dagaa kila siku sawa na wewe?
Kwa sababu wewe ni mpambe unafikiri kila mtu alikua anapigania ugali kwa kusifia hata upumbavu eeh! Kwanza wafiwa tulieni msitusumbue subirini kipindi cha mpito na mtifuano mkigombea urithi mlioachiwa
 
Pole sana mkuu, hii ndio ccm hubadirika kama kinyonga! Sasa hivi mnaisifu ccm bila nyie kujua!

Lakini kama kawaida yenu mtajua ikifika oktoba 2025
 
Back
Top Bottom