Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

Mwigulu ameupa ushind wa cdm ratha! maana the way alivyo na mbwembwe utathan hawez kukimbia. kumbe anamwogopa LEMA
 
hivi CCM, can't they see this? do they view this move as just a coincidence? i dont believe it. do you?
 
Ipo siku atajua anachokisema, tofautisha uchaguzi wa kata nne za Uchagani na Gesi ya Ntwara.
Mpuuuuziii.

Akheri ya mpuuzi kuliko anayeua wengine kwa mabomu, kuteka, kutesa na kung'oa meno na kucha ili aendelee kubaki madarakani

Kumbuka; "KILA RISASI INAYOPIGWA NA WATAWALA INAUA UNYONGE NA WOGA NA KUIBUA NGUVU NA UJASIRI WA RAIA"
 
Hongela sn J.Shoza&M.Mtela tumeona juhudi zenu mliweka kambi arusha na mumefanikisha ushind wa kimbunga!!
 
Kijana mwenye mikakati madhubuti ya ushndi Godbless Lema, ametamka kuwa amemaliza Arusha kurudisha kata zote 4 kama zawad ya wananchi kwa Lema kurudisha Ubunge wake, sasa atamka kuwa anadondoka rasmi kuikomboa Mtwara.

Amesema Mtwara imekosa mpambanaji wa kweli mwenye kujiamini na hvyo anashuka rasmi mtwara. Chadema leo imetwaa kata zote 4 licha ya nguvu kubwa ya CCM na jesh la Polisi hadi kupelekea naibu katbu mkuu Mwigulu kupga kambi Arusha mwezi mzima. LEMA amethbitisha umwamba wake katka siasa za Arusha. Lema ni kpenz cha wanaArusha bila shaka.

Amesema CCM wajiandae Mtwara kwa kuwa anaenda na kuipatia uhuru mtwara. Kumbuka A GRAIN OF WHEAT.
Haziwezi kuota mtwara lema anaweza siasa za kikabila tu mtwara wachaga siyo wengi.
 
Asisahau sindano ya ganzi na dawa ya maumivu,maana nasikia kule kuna wanajeshi na si polisi
Wanajeshi walishindwa Mbeya, Mtwara pia watachemsha... Hakuna kama nguvu ya umma! Wananchi wakiamua waliohodhi madaraka hawatafua dafu...tuko pamoja kamanda Lema....
 
Thambi ya usaliti!! moto kila mahali
Wameenda kuweka kambi ya kukulana na kula pesa za wananchi bila sababu.Ooh kaskazini this kaskazini that,sasa wakiulizwa walikuwa wakitafta nini huko,hawana jibu.Lakini fuatilia matumizi yao.

Kinachotakiwa sasa kwa makamanda ni moto mbele kwa mbele.Take advantage on the momentum!

Wananchi wa sehemu mbalimbali nchini wanajifunza kutoka Arusha,wamepigwa mabomu lakini bado wameikataa ccm.Wanamtwara watajifunza,wana Lindi na Rukwa watajifunza...Tanzania itajifunza,na Tanzania itakombolewa!God willing!
 
Haziwezi kuota mtwara lema anaweza siasa za kikabila tu mtwara wachaga siyo wengi.

Endelea kughani hiyo single yako ya ukabila ila wenzio wanasonga mbele,

HADANGANYWI MTU KWA NGONJERA YENU YA UKABILA, DINI WALA KANDA...
 
Matokeo ya kata 4 jijini Arusha...
1.THEMI
CDM-678
CCM-326
CUF-313

2.KIMANDULU
CDM-2665
CCM-1169

3.KALOLENI
CDM-1019
CCM-389
CUF -169

4.ELERAI
CDM-1715
CCM-1239
CUF -213



Hapo inaonyesha hata Magamba na Waliberali wangeungana kura zao zisingewafikia Chadema. Kiukweli Arusha ni ya chadema.
 
Itabidi wakuu wa mikoa ya Arusha na Mtwara nao wabadilishane
 
Ndugu watanzania wenzangu mie ni mmoja wa wasomi wa nchi hii nilisema hivi mtu kama mwigulu,nape na wasira ndo watu watakaoibomoa CCM na nilisema uelewa wao ni mdogo sana hawana uwezo wa kushawishi watanzaniam wa zama hizi.Ukipanda mtama utavuna mtama.Mwigulu wewe sio msomi ni zuzu kadanganye mazuzu wa singida imekula kwako .................................................

Mkuu tushangilie ushindi kwa amani na upendo na mshikamano! Mzinzi, mwizi na muongo mwigulu kuwa mbunge wa iramba kiukweli imetupaka matoke wana-singida kwa ujumla. Nikuombe tu ufute kauli yako kwamba singida ni ya mazuzu, unajua kinachopelekea magamba kutawala sehemu, process bdo ndefu kumaliza utawala huu wa mkoloni mweusi. Lazima unawafahamu Dr Kitila Mkumbo na Tundu Lissu nami Nkanaga ndani ya CDM, sio ma-zuzu!
 
hivi CCM, can't they see this? do they view this move as just a coincidence? i dont believe it. do you?

Mkuu ni mpango wa Mungu! wacha waendelee kulala, nawaombea japo mwaka mmoja tu mwigulu, shonza mwampamba nape na wasira ndani ya ccm! Hakika ndizo silaha za kukimaliza CCM!
 
ila kwa mawazo yangu safari ya mtwara atulie kwanza iratibiwe vizuri. pamoja na usemi wa wahenga mchawi mkabidi mwanao, mchawi huyu sio mchezo, ukimkabidhi mwanao anaua kweli halafu naanza kukuchezea tu na kauli mbalimbali kadri wanavyopenda, ooh, kitu chenye ncha kali, oo wenyewe kwa wenyewe wanatafuta wanatafuta sympathy, oh intelijensia-alimradi unazinguliwa mpaka unamwachia Mungu. mh.Lema ndugu yetu, angalia kwanza kabla hujaenda, hasira za kukosa kata zisijeishia kwako.
 
Wapi HAMY D, Taswira, Zomba, Ze Marcopolo, Ritz, MAFILILI, Simiyu yetu, Sumu...?! Siwaoni kabisa kwenye hizi siredi. Wamekimbia bila hata kuaga... wametokea mlango gani?!
Mkuu hutawaona hapa wanajipanga watoe single ya kutusahaulisha. Kichapo kibaya kile yaani serikari yote imechapwa mh,mawazili makatibu wakuu,igp,chagonja,na hutu tupolis uchwara mkuu wa
mkoa na woote. Malipo hapahapa
 
Back
Top Bottom