Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

Wapi HAMY D, Taswira, Zomba, Ze Marcopolo, Ritz, MAFILILI, Simiyu yetu, Sumu...?! Siwaoni kabisa kwenye hizi siredi. Wamekimbia bila hata kuaga... wametokea mlango gani?!
 
Njoo na huku Mufindi Iringa watu bado hawajajitambua, msitu wa Taifa Sao hill wanatoa vibali kwa wanaounga mkono ccm wanaounga mkono chadema wananyang'anywa vibali hata kama walikuwa na vibali. lakini watu wamejaa unafiki tu.:disapointed:
 
Hongera kamanda...big up sana....ngoma ya watoto haikeshi (post ya Juliana Shonza)
 
Viva wana Arusha,viva cdm,Hakika Lema nimoto chini,mungu mlinde Lema,mungu ibariki Arusha.
 
Lema siku zote umekuwa mkombozi na mtetezi wa wanyonge, mungu akupe nguvu ukaikomboe mtwara,-
 
jamaani hebu tupeni matokeo kwa ukamili wake maana taaroifa zinakuja nunu nusu sana
kutoka facebook....masunga kulwa yupo arusha....mungi thibitisha takwimu hizi....
[h=5]kata ya themi
chadema 678
ccm 326
cuf 313

kata ya kimandolu
chadema 2665
ccm 1169

kata ya kaloleni
chadema 1019
ccm 389
cuf 169

kata ya elerai
chadema 1715
ccm 1239
cuf 213

chadema mwendo mdundo....................[/h]
 
Magamba Safiiiiiii.....Ziiiiiiiiiii.....Gaidi Mwigulu safiiiiiii..Ziiiiiiiiiii...Wapigieni makofi Makamanda tafadhali...Kamanda Lema kiboko ya Gaidi Mwigulu safiiiiiii....Safiiiiiii.Ha ha ha ha ha!Nahisi Magamba leo wote wako hoi kwasababu ya kile Lema alichowatenda kule Arusha.Hawana hamu naye hasa Mwigulu.Nahisi kesho akina Mwigulu,Ritz,Hamy D,Shonza,Rathia Sweety na wengineo wataamka na hangover ya kupoteza Udiwani Arusha.
 
Chadema kweli ni mpango wa Mungu!!

Nenda Ntwara kamanda,nenda....kiroho tunakwenda pamoja Lema!
 
Tupeni matokeo yoteee pamoja kama ni kweli.

HAYA NDIO MATOKEO RASMI
1. Kata ya Themi
chadema= 678
... ccm =326
cuf=313

2.Kata ya kimandolu
chadema=2665
ccm=1169

3.Kaloleni
chaedma=1019
ccm=389
cuf=169

4.Elerai
chadema=1715
ccm=1239
cuf=213
 
One-of-CHADEMA%E2%80%99s-Morogoro-meetings.jpg

Historia ya vyama vya kisiasa ambavyo vimefanikiwa kuvipokonya vyama vikuukuu vilivyozeeka kuunda serikali vilianza na kulibalika kuwa na wafuasi wengi katika majiji makubwa ambayo ni kichocheo kikubwa cha ushindi. Hali hiyo ndiyo inayoonekana sasa katika hali ya kisiasa nchini. kama vile Marekani Republican huwa wanaonekana kuongoza ushindi katika state nyingi, lakini yanapokuja kutangazwa matokeo ya New york na Califonia hubanwa mbavu na kushtukia Democratic kutoka kifua mbele.

Majiji ya Arusha, Mwanza na Mbeya yanaonekana kuwa ngome ya Chadema. Jiji kubwa lililobaki ni Dar es Salaam. Hadi 2015 possible kutakuwa na wafuasi wengi katika jiji la Dar es Salaam.

Matokeo ya Ushindi wa Chadema kata nne arusha ni zaidi ya 65, kiasi hicho ni kikubwa kama ingekuwa ni kura ya mgombea urais. Baada ya kuwa na ngome katika majiji haya sasa kazi ni moja kupenya vijini kwani wa mijini nao watazidi kuangaza mwenge vijijini kumulika njia ya chadema kuwafikia wengi.
 
Kijana mwenye mikakati madhubuti ya ushndi Godbless Lema, ametamka kuwa amemaliza Arusha kurudisha kata zote 4 kama zawad ya wananchi kwa Lema kurudisha Ubunge wake, sasa atamka kuwa anadondoka rasmi kuikomboa Mtwara.

Amesema Mtwara imekosa mpambanaji wa kweli mwenye kujiamini na hvyo anashuka rasmi mtwara. Chadema leo imetwaa kata zote 4 licha ya nguvu kubwa ya CCM na jesh la Polisi hadi kupelekea naibu katbu mkuu Mwigulu kupga kambi Arusha mwezi mzima. LEMA amethbitisha umwamba wake katka siasa za Arusha. Lema ni kpenz cha wanaArusha bila shaka.

Amesema CCM wajiandae Mtwara kwa kuwa anaenda na kuipatia uhuru mtwara. Kumbuka A GRAIN OF WHEAT.

Hapo kwenye Red mkuu nitamuunga mkono kwa nguvu zote...
 
Mabomu alikuwa nayo hitler,arobaini yake aliyeyukia kusikojulikana,ghaddafi alichomolewa kutoka mfereji wa majitaka akitaka kuokoa nafsi yake.hawa nepi na miguu ya chemba wataishia kupiga debe hapa ubungo au kituo kingine cha mabasi ya mkoani!wanamtumikia banyani!
 
Back
Top Bottom