Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

Penye nia pana njia na kujiamini ndio msingi pekee wa ukombozi;wanaMtwara na sehemu nyingine kama hizo wamekosa kujiamini na wamejawa na woga.Hata hiyo Serikali inajua wanaojiamini na wasiojiamini.
Naunga mkono hoja 100%!
 
Kijana mwenye mikakati madhubuti ya ushndi Godbless Lema, ametamka kuwa amemaliza Arusha kurudisha kata zote 4 kama zawad ya wananchi kwa Lema kurudisha Ubunge wake, sasa atamka kuwa anadondoka rasmi kuikomboa Mtwara.

Amesema Mtwara imekosa mpambanaji wa kweli mwenye kujiamini na hvyo anashuka rasmi mtwara. Chadema leo imetwaa kata zote 4 licha ya nguvu kubwa ya CCM na jesh la Polisi hadi kupelekea naibu katbu mkuu Mwigulu kupga kambi Arusha mwezi mzima. LEMA amethbitisha umwamba wake katka siasa za Arusha. Lema ni kpenz cha wanaArusha bila shaka.

Amesema CCM wajiandae Mtwara kwa kuwa anaenda na kuipatia uhuru mtwara. Kumbuka A GRAIN OF WHEAT.

dah! arusha nimewakubali bado musoma ile kata ya nyakato inatuangusha.
 
Hapa tulipo sisi,ni kwa neema ya Mungu,tumetoka mba toka mba,toka mbali,tumetoka mbali sisi,ainuliwe Mungu juu,asifiwe Mungu juu,ni kwa Neema tu,na rehemaa ..vua gamba,choma gamba,tupa gamba,maliza gambaz..raha tupu,WAPI HAMY D wangu jamani?usitukimbie member wenzio,furaha yetu ni yako pia,kwi kwi kwii!
 
Kijana mwenye mikakati madhubuti ya ushndi Godbless Lema, ametamka kuwa amemaliza Arusha kurudisha kata zote 4 kama zawad ya wananchi kwa Lema kurudisha Ubunge wake, sasa atamka kuwa anadondoka rasmi kuikomboa Mtwara.

Amesema Mtwara imekosa mpambanaji wa kweli mwenye kujiamini na hvyo anashuka rasmi mtwara. Chadema leo imetwaa kata zote 4 licha ya nguvu kubwa ya CCM na jesh la Polisi hadi kupelekea naibu katbu mkuu Mwigulu kupga kambi Arusha mwezi mzima. LEMA amethbitisha umwamba wake katka siasa za Arusha. Lema ni kpenz cha wanaArusha bila shaka.

Amesema CCM wajiandae Mtwara kwa kuwa anaenda na kuipatia uhuru mtwara. Kumbuka A GRAIN OF WHEAT.
Yeah! Nimeipenda sana! Tunahitaji mabadiliko na uwajibikaji wa viongozi kupitia demokrasia ya kweli! Be blessed Lema as your name rely on! Baada ya Arusha kasema mtwara, asiishie hapo tu! Maana sehemu nyingi sana kuna uozo! Aje apige perfume!
 
wanajf, kama mnakumbuka vizuri, Lema alivuliwa Ubunge kiutata na mahakama pale Arusha hadi mahakama ya rufaa Dsm ikasema kwamba hukumu hii iko chini ya Viwango.Na lema akadai kuwa hukumu ile ina mkono wa JK. mtakumbuka pia kwamba Wakati LEMA akiwa likizo ya ubunge aliyopenda kuiita honey moon, JK alienda Arusha akawaambia wana Arusha kwamba, sasa amani imerejea Arusha, Miezi michache iliyopita haikuwa rahisi kuyakuta mazingira ya namna hii, na isingekuwa rahisi kufanya tukio la Kitaifa Arusha. Hapa alimaanisha kwamba kabla Lema hajavuliwa Ubunge Arusha ilikuwa vurugu tupu.

Kwa tafsiri rahisi, jK alikuwa anamfitinisha LEMA na wana Arusha kwa kauli hiyo, kwamba LEMA na Chadema ni watu wa vurugu.
Hata hivyo, wana Arusha wameonekana kuipuuza Kauli ya jk na kuirudisha CHADEMA Arusha. Huu ni ushindi mkubwa sana na imani kubwa sana ya wana Arusha kwa CHADEMA na Lema pale Arusha - yaani kumwamini Lema/CHADEMA dhidi kauli ya Rais wa nchi.

Ushindi huu kwa sehemu kubwa umchangiwa na mambo mengi, kubwa ni uwezo mkubwa sana wa Lema wa kujenga hoja zenye ushawishi mkubwa sana kwa watu. Lema akihutubia kwa nusu saa huku akiwa nukuu akina Mandela, Lincolin, martin Luther King, Mahatma Gandhi nk na ukamsikiliza vizuri,lazima ubadilike. Na imani yangu kwamba CCM hawataweza kumwondoa Lema Pale Arusha hata wakimtuma PINDA, Mkapa, Mwinyi baada ya JK kukwama kumfitinisha LEMA.

Na ikumbukwe pia, hotuba za LEMA zinaweza kubadilisha upepo wa kisiasa nchi nzima kuelekea 2015 kama atapata fursa ya kuzunguka nchi hii. Nini hatma ya uchaguzi mkuu wa 2015 tukienda kwa mwendo huu?

Binafsi namtakia Lema Maisha marefu na Mungu amwepushe na watoa kucha, meno na macho bila ganzi. Mungu ibakiriki Arusha, Mungi ibariki Tanzania na Afrika.

NB Hata fitina ya mabomu nayo imepuuzwa na wana Arusha
HASA baada ya dili kuharibiwa na Freeman Mbowe
.
Nawasilisha.
 
Nasubiri kusikia kauli za Nape na Mwigulu baada ya kichapo cha jana.
 
Hatima ya uwepo wa CCM na CUF huku kusini ipo mikononi mwa CDM,Hakuna uchaguzi walioshinda ccm kwa kura ktk siku za hv karibuni huku.Kifupi wananchi tumeshawashitukia CCM na CUF ni dili moja,Kitu ambacho kimetufanya kutafuta ufumbuzi mbadala kwani wengi wetu tuliichagua CUF kutokana na kuikataa CCM kumbe mwisho wa siku m/kiti wa cuf taifa kakiunganisha na magamba kimyakimya.Amesahau kuwa sisi hatukukipenda CUF kutokana na uzuri wa sura wa viongozi wake badala yake tulikipenda kwa kuamini kina sera mbadala zitakazotutoa hapa tulipokwamishwa na ccm!.Kusini sasa sio kwamba wanakisikia tu CDM ila wanakiona kupitia vyombo ya habari makini hususani tv na mitandao ya kijamii pia,Ikumbukwe huku tuliwekwa ndani ya box kwa kurushiwa matangazo ya TBC taifa pekee! Bilashaka hakuna asiyejua utendaji wa sasa wa kituo hiki.Lkn sasa watu wametoka ndani ya box na kujua kuna vyanzo vingi vya habari na taarifa muhimu na vyenye kuaminika duniani kote tofauti na walivyokituaminisha hawa ccm zamani eti habari mzuri na yakuamini ni ile inayotolewa na vyombo vyao au vishirika na wao!,Tunawahitaji CDM kusini kwa sasa kuliko wakati wowote uliowahi kutokea! Ninarudia kusema tena kuwa unapoizungumzia kusini MOYO wake ni NACHINGWEA! CDM ikija kuisambaratisha rasmi ccm Nachingwea basi kazi imekwisha,Na kazi iliyobaki ni kidogo mnoo.Naamini CDM kikimpeleka Lema na Lisu wakawapa muda wa hata dk 45 tu kila mmoja! Kwa ninavyowafahamu hawa makamanda huu muda unawatosha kuizika ccm na mshirika wao Cuf kusini.Musiofu ikiwezekana waagizeni viongozi wenu wa kanda ya kusini watutangazie wananchi tuchangie hiyo ziara na mutashangazwa kwa jinsi gani watu watakavyojitolea kwa moyo mmoja kwa hari ma mali,Kusini hatuamini propaganda za kitoto zinazoenezwa wa baadhi ya wasioitakia mema nchi hii na chama hiki pendwa kuwa ni cha kikanda,kidini,Kikabila n.k. Kwani hatudanganyiki ng'o.Njooni CDM kusini mutuongoze kondoo wenu! Kwani imefika wakati hadi waliokaamia cuf wanafikiri kurudi ccm baada ya kuwagundua viongozi wa cuf niwasaliti. Mwisho kabisa niwakumbushe tu viongozi wa chama ninachikipenda CDM kuwa; Kufuru ya ccm kupitia mbunge woa Chikawe ya kuwagawia wananchi waliompigia kura zawadi za SANDA kila nyumba ndo inayowatafuna,Kile kitendo wananchi wamelia sana ndo maana hadi leo hii mh. Anaogopa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wa Nachingwea hususani maeneo ya tarafa za mjini.KARIBUNI CDM KUSINI ccm na washirka wao cuf hawana mpya na wenyewe wanalijua hilo ndo maana akili zao wanaelekeza kwenye kuiba kura tu.
 
Hongera Kamanda Lema!!! Yaani hadi raha!!!!!!!!!!!

Sasa Mh Lema tumesha kupa madiwani wa kutosha, onyesheni wana wa Arusha mabadiliko, fungemi mianya yote ya rushwa za magamba manispaa, tupeni maeneo ya wazi magamba waliyo gawana, rudieni mikataba feki waliyopeana
 
mbona simsikii muheshimiwa sana bw. Nape, bwa nchemba, bw. Nchimbi na wenzao woote mbona kimyaa!!!!!!! Au kipigo cha arusha maumivu bado??????[/color]
 
Kijana mwenye mikakati madhubuti ya ushndi Godbless Lema, ametamka kuwa amemaliza Arusha kurudisha kata zote 4 kama zawad ya wananchi kwa Lema kurudisha Ubunge wake, sasa atamka kuwa anadondoka rasmi kuikomboa Mtwara.

Amesema Mtwara imekosa mpambanaji wa kweli mwenye kujiamini na hvyo anashuka rasmi mtwara. Chadema leo imetwaa kata zote 4 licha ya nguvu kubwa ya CCM na jesh la Polisi hadi kupelekea naibu katbu mkuu Mwigulu kupga kambi Arusha mwezi mzima. LEMA amethbitisha umwamba wake katka siasa za Arusha. Lema ni kpenz cha wanaArusha bila shaka.

Amesema CCM wajiandae Mtwara kwa kuwa anaenda na kuipatia uhuru mtwara. Kumbuka A GRAIN OF WHEAT.

Lema mtwara sio Arusha kaka, ile ni nchi nyingine ambayo iko chini ya utawala wa kijeshi na sio polisi. Kile kipigo ulicho pata Cha polisi hawa ma soldiers ni Cha kitoto, wao watakukamua ngama mkuu.
 
wanajf, kama mnakumbuka vizuri, Lema alivuliwa Ubunge kiutata na mahakama pale Arusha hadi mahakama ya rufaa Dsm ikasema kwamba hukumu hii iko chini ya Viwango.Na lema akadai kuwa hukumu ile ina mkono wa JK. mtakumbuka pia kwamba Wakati LEMA akiwa likizo ya ubunge aliyopenda kuiita honey moon, JK alienda Arusha akawaambia wana Arusha kwamba, sasa amani imerejea Arusha, Miezi michache iliyopita haikuwa rahisi kuyakuta mazingira ya namna hii, na isingekuwa rahisi kufanya tukio la Kitaifa Arusha. Hapa alimaanisha kwamba kabla Lema hajavuliwa Ubunge Arusha ilikuwa vurugu tupu.

Kwa tafsiri rahisi, jK alikuwa anamfitinisha LEMA na wana Arusha kwa kauli hiyo, kwamba LEMA na Chadema ni watu wa vurugu.
Hata hivyo, wana Arusha wameonekana kuipuuza Kauli ya jk na kuirudisha Chadema Arusha. Huu ni ushindi mkubwa sana na imani kubwa sana ya wana Arusha kwa Chadema na Lema pale Arusha - yaani kumwamini Lema/chadema dhidi kauli ya Rais wa nchi.

Ushindi huu kwa sehemu kubwa umchangiwa na mambo mengi, kubwa ni uwezo mkubwa sana wa Lema wa kujenga hoja zenye ushawishi mkubwa sana kwa watu. Lema akihutubia kwa nusu saa huku akiwa nukuu akina Mandela, Lincolin, martin Luther King, Mahatma Gandhi nk na ukamsikiliza vizuri,lazima ubadilike. Na imani yangu kwamba ccm hawataweza kumwondoa Lema Pale Arusha hata wakimtuma PINDA, Mkapa, Mwinyi baada ya JK kukwama kumfitinisha LEMA.

Na ikumbukwe pia, hotuba za LEMA zinaweza kubadilisha upepo wa kisiasa nchi nzima kuelekea 2015 kama atapata fursa ya kuzunguka nchi hii. Nini hatma ya uchaguzi mkuu wa 2015 tukienda kwa mwendo huu?

Binafsi namtakia Lema Maisha marefu na Mungu amwepushe na watoa kucha, meno na macho bila ganzi. Mungu ibakiriki Arusha, Mungi ibariki Tanzania na Afrika.

NB Hata fitina ya mabomu nayo imepuuzwa na wana Arusha
HASA baada ya dili kuharibiwa na Freeman Mbowe
.
Nawasilisha.[/QUOTE

Arusha ni ya kuonea huruma sana uchumi wao umeshuka sana, hakuna hela tena kama zamani , wamebakiza mbuga Za wanyama tu. Makongamano yote ya kimataifa yaliyo kuwa yakifanyika huko yamehamishiwa Dar kwenye ukumbi wa Jk international conference . Kuna rafiki yangu ni dereva taxi alikuwa anaingiza karibia laki 2 kwa wiki, hivi sasa ananiambia hata TZS 50'000 ni kwa shida. Arusha imekwisha ni ya kuonea huruma.
 
Arusha sio mtwara, karibu upate aibu tena, Kama mlivyopata aibu manzese jumamosi.
 
Ki-ufupi naweza kukubaliana kuwa mtu kama Lema ni mpango wa mungu kwa magumu yote ambayo umekuwa ukiyapitia kiukweli hadi sasa naona umepungua kamanda pole sana kwa majukumu mazito ya kuwatetea wanyonge ipo siku historia itakukumbuka na hakika ushindi wa leo unaonyesha ni kwa jinsi gani ulivyo karibu na wananchi wako kamanda kura ulizopata 56,000 ni halali mbele ya mungu. Arusha somo limeshaeleweka ukombozi uelekee sehemu nyingine pia
Nakubaliana na wewe kwenda kuwakomboa wana Mtwara nakuombea mungu akutie nguvu iwapo itampendeza urudi salama maana Mtwara kwa sasa eneo hatari mno kiusalama lakini tunawatakia hao wenzetu pia wapate ukombozi wa kweli maana hawana mtetezi
Mzee Tupa tupa nakubaliana na wewe kuwa AR magamba hamtakiwi lakini vijana wako waliopewa rungu wanafikiri wanazijua sana siasa na kupewa madaraka makubwa matokeo yake ndo hayo. Naamini mtaliona hilo katika tathmini zenu hapo Lumumba lakini kwa kuwa sikio la kufa halisikii mnaweza kujipa moyo kuwa mmmeshinda na Arusha.
Ogopa sana mtu anayeanza na mungu na kumaliza na mungu................. Giza haliwezi kushindana na nuru.

Kila la kheri makamanda.
the great god almighty can not side with a CRIMINAL....
huyu mungu wenu sijui ni yupi, after all inaelekea wewe ni mbumbumbu wa jiografia na historia ya tanzania.
kuifananisha ARUSHA NA MTWARA ni uendawazimu.
huku hakuna WACHAGA. na hata arusha siku wenye mji wao watakapowakataa walowezi, mtarudi kujibana kwenuuuuuuuuu uchagani
 
Lema mtwara sio Arusha kaka, ile ni nchi nyingine ambayo iko chini ya utawala wa kijeshi na sio polisi. Kile kipigo ulicho pata Cha polisi hawa ma soldiers ni Cha kitoto, wao watakukamua ngama mkuu.

We acha upumbavu.Usifikiri wanajeshi wanafanya kazi kama policcm robots.Ni wazalendo sana kwa nchi Yao na wanachukia kutoka moyoni yanayofanywa na majambazi ya ccm.Kaa na wanajeshi uwasikilize uone walivyo na busara na wanavyotamani mabadiliko.Usimtishe Kamanda Lema kwenda Mtwara,watu wa aina yako huku kwetu tunachinja tu.
 
Kijana mwenye mikakati madhubuti ya ushndi Godbless Lema, ametamka kuwa amemaliza Arusha kurudisha kata zote 4 kama zawad ya wananchi kwa Lema kurudisha Ubunge wake, sasa atamka kuwa anadondoka rasmi kuikomboa Mtwara.

Amesema Mtwara imekosa mpambanaji wa kweli mwenye kujiamini na hvyo anashuka rasmi mtwara. Chadema leo imetwaa kata zote 4 licha ya nguvu kubwa ya CCM na jesh la Polisi hadi kupelekea naibu katbu mkuu Mwigulu kupga kambi Arusha mwezi mzima. LEMA amethbitisha umwamba wake katka siasa za Arusha. Lema ni kpenz cha wanaArusha bila shaka.

Amesema CCM wajiandae Mtwara kwa kuwa anaenda na kuipatia uhuru mtwara. Kumbuka A GRAIN OF WHEAT.

Last night must have been a nightmarish for the likes of mental blocks going with names like Mtela Mwampamba, Shonza whatever her first name is! JF member Hamy-D and many others of that ilk!

Long live the struggle of the people; now it is full throttle to take the crown; No retreat no surrender.
 
Lema mtwara sio Arusha kaka, ile ni nchi nyingine ambayo iko chini ya utawala wa kijeshi na sio polisi. Kile kipigo ulicho pata Cha polisi hawa ma soldiers ni Cha kitoto, wao watakukamua ngama mkuu.

Upuuzi wenu huo wa serikali yenu sikivu kutumia maguvu bila kushirikisha vichwa vyenu ndio kete kubwa ya CDM, Sidhani tena kama CCM itashinda Mtwara na Longido
 
Back
Top Bottom