Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

Mwingulu akisikia herufi L.anashituka na kutaka kukimbia.Tunamwambia awe na amani tu.Lakini alichopanda atavuna lazima.
 
Wapi magamba jamvini?
2.jpg

Wako hoi!!!!!!!!!!!!!
 
Mtwara ni pwani tofauti na Arusha.

Mkuu! CCM haina chake hapa Mtwara na mikoa ya kusini si ngome tena ya Magamba asilan. Mawazo ulonayo ni yale ya miaka 10 ilopita, na sasa tushamjua mwizi, hatulali na ikibidi tunalala kwa zamu.
 
Karibu Ntwara, tunasubiri sauti ya mtu aliaye nyikani... Na bila shaka wewe ndiye!
 
Mkuu! CCM haina chake hapa Mtwara na mikoa ya kusini si ngome tena ya Magamba asilan. Mawazo ulonayo ni yale ya miaka 10 ilopita, na sasa tushamjua mwizi, hatulali na ikibidi tunalala kwa zamu.

Mkuu upo sahihi kabisa upepo wa kisiasa kusini umebadilika tayari.
 
CCM ondoeni viongozi wezi na walopokaji kama akina Nape na Mwigula wananchi wanaamini kwamba hao ni wapiga porojo hawawezi saidia hata katibu wa chama Kinana haminiki nafasi akae Mangula.Inatia hofu tuendako
 
usiogope wale jamaa ni marafiki zetu lait kama ungekuja soweto wakati wanalinda wao ungeona kwn wengi wao ni waelewa sio hawa ilimradi uwe mrefu na chagonja umemuona basi unapatakazi

JWTZ siku zote ni jeshi linaloheshimika ndani na nje hata wakikuta mnaugomvi anawasuruhisha mnaendelea na urafiki na mwenzako ila wale form 4 wa chagonja wakiwakuta hata mnapiga stori kwa sauti ya juu wanawapiga pingu afu kama unakablack berry kako ndo hutokuja kukaona tena
 
Makamanda wote TUENDELEE kujilinda na VITISHO, Dola na rushwa za CCM huku tukimtumainia MUNGU tu... Via RED BRIGADE AGENCY...
 
Hongereni wanaAR, hongera Kamanda lema na Makamanda wote wapenda mabadiliko katika nchi hii. VIVA M4C
 
.........yan????c wa huku mbwinde mkuu umetuacha kidogo,tiririkaaaaaaa

ni kwamba huyu mtoto wa mkuu alikamatwa na kontena lenye madawa ya kulevya kule china ikiwa ni muda mfupi tangu matonya akamatwe na kuachiwa bila hata ya kujua kesi yake imeishia wapi ndipo mkuu akaenda kule kuyamaliza nsani ga mweza tunackia mchina anakuja nchini. swali ni je, kwa sheria za china hawa watu wangeweza kuchiwa hivihivi kirahisi bila ya kugharimika.
 
Hengereni sana wana AR, hongera kamanda Lema na Makamandaa wote wapenda mabadiliko ktk nchi hii. VIVA M4C
 
Kwa waliokua wanauizia matokeo.
CHADEMA YASHINDA KATA ZOTE 4 ARUSHA.
Matokeo kamili ya uchaguzi Arusha, Themi
CHADEMA 678
CCM 326
CUF 313
KIMANDOLU
CHADEMA 2,665
CCM 1169
KALOLENI

CHADEMA 1,019
CCM 389
CUF 169
ELERAI
CHADEMA 1,715
CCM 1239
CUF 213.
 
ni vema haki kulitambua jema mwenzako atendapo,angalizo tusivae sura za kutaka kumwangusha mtu,hyo ni siasa ambayo haina mtazamo na ni watu wasio na uelekeo,siku hz watanzania wanajuaaaa! Cyo wa kudanganywa na mtu,kama ipo ,ipo tuu,na kama haipo haipo tuu hata mtu ufanyaje,ujue cku haturogeki kirahisi! CHA MSINGI WEKENI SERA JUKWAANI ZA CHAMA HUSIKA ILI RAIA TUPIME WAPI TUNAWEZA KUNYWA MAJI,NASHAURI SANA WATU WAKISUBIRI KWA MUDA MREFU MABADILIKO,BASI WEWE MLETA MABADILIKO USILETE WALA KUZUNGUMZIA SERA ZA ALIESHNDWA,TUTAKUONA HUNA JIPYA! LETA SERA MPYA WATU WAPATE PUMZKO LA KUHANGAISHWA KIFIKRA! SIASA SIYO UGOMVI BALI NI SERA,ILA SERA ZKIWA HAZIJASHBA NDIPO MALUMBANO HUJA,JIULIZE TANGU LINI MTU UKAMPA KIZURI AKAKUPIGA? BASI HUYO AKUPIGAE ET KWA VLE UNALETA MAZURI ROHO YAKE INAUCHAFU INABIDI AKAOSHWE! LETENI SERA SAFI JUKWAAN WATANZANIA WANAJUA UKWEL NA UWONGO! TUNAJUA SANA WANAOHANGAIKA NA WATU NA WALE WANAOHANGAIKIA UMAARUFU JUKWAAN! KUMBUKA UMAARUFU HARUFU HAUKAWIKI KUPOTEA,JIULIZE NAFSINI MWAKO,RAHA YAKO NI NN? JE UNAJISIKIA VZURI UKIWA JUKWAANI WAELEZEA SERA ZA WENZAKO WAACHA ZAKO(hautufai wewe)! ILA KAMA UKIWA JUKWAAN WAHANGAIKA NA WATU NA UNAELEZEA SERA ZAKO (UNATUFAA)!!!!!
 
Ifike wakati nape name mwigulu kama vijana wajue wanaidhalilisha Tanzania!!
 
Kijana mwenye mikakati madhubuti ya ushndi Godbless Lema, ametamka kuwa amemaliza Arusha kurudisha kata zote 4 kama zawad ya wananchi kwa Lema kurudisha Ubunge wake, sasa atamka kuwa anadondoka rasmi kuikomboa Mtwara.

Amesema Mtwara imekosa mpambanaji wa kweli mwenye kujiamini na hvyo anashuka rasmi mtwara. Chadema leo imetwaa kata zote 4 licha ya nguvu kubwa ya CCM na jesh la Polisi hadi kupelekea naibu katbu mkuu Mwigulu kupga kambi Arusha mwezi mzima. LEMA amethbitisha umwamba wake katka siasa za Arusha. Lema ni kpenz cha wanaArusha bila shaka.

Amesema CCM wajiandae Mtwara kwa kuwa anaenda na kuipatia uhuru mtwara. Kumbuka A GRAIN OF WHEAT.

Ipo siku atajua anachokisema, tofautisha uchaguzi wa kata nne za Uchagani na Gesi ya Ntwara.
Mpuuuuziii.
 
Back
Top Bottom