Ki-ufupi naweza kukubaliana kuwa mtu kama Lema ni mpango wa mungu kwa magumu yote ambayo umekuwa ukiyapitia kiukweli hadi sasa naona umepungua kamanda pole sana kwa majukumu mazito ya kuwatetea wanyonge ipo siku historia itakukumbuka na hakika ushindi wa leo unaonyesha ni kwa jinsi gani ulivyo karibu na wananchi wako kamanda kura ulizopata 56,000 ni halali mbele ya mungu. Arusha somo limeshaeleweka ukombozi uelekee sehemu nyingine pia
Nakubaliana na wewe kwenda kuwakomboa wana Mtwara nakuombea mungu akutie nguvu iwapo itampendeza urudi salama maana Mtwara kwa sasa eneo hatari mno kiusalama lakini tunawatakia hao wenzetu pia wapate ukombozi wa kweli maana hawana mtetezi
Mzee Tupa tupa nakubaliana na wewe kuwa AR magamba hamtakiwi lakini vijana wako waliopewa rungu wanafikiri wanazijua sana siasa na kupewa madaraka makubwa matokeo yake ndo hayo. Naamini mtaliona hilo katika tathmini zenu hapo Lumumba lakini kwa kuwa sikio la kufa halisikii mnaweza kujipa moyo kuwa mmmeshinda na Arusha.
Ogopa sana mtu anayeanza na mungu na kumaliza na mungu................. Giza haliwezi kushindana na nuru.
Kila la kheri makamanda.
napita
Kijana mwenye mikakati madhubuti ya ushndi Godbless Lema, ametamka kuwa amemaliza Arusha kurudisha kata zote 4 kama zawad ya wananchi kwa Lema kurudisha Ubunge wake, sasa atamka kuwa anadondoka rasmi kuikomboa Mtwara.
Amesema Mtwara imekosa mpambanaji wa kweli mwenye kujiamini na hvyo anashuka rasmi mtwara. Chadema leo imetwaa kata zote 4 licha ya nguvu kubwa ya CCM na jesh la Polisi hadi kupelekea naibu katbu mkuu Mwigulu kupga kambi Arusha mwezi mzima. LEMA amethbitisha umwamba wake katka siasa za Arusha. Lema ni kpenz cha wanaArusha bila shaka.
Amesema CCM wajiandae Mtwara kwa kuwa anaenda na kuipatia uhuru mtwara. Kumbuka A GRAIN OF WHEAT.
.....Jamaa hataniii.....kama kawaida yake lema POROJO nyingi..
Karibu london
mtwara hakuna UCHAGUZI
sawa kamanda lema nenda mtwara nenda kamanda
kama kawaida yake lema POROJO nyingi..