Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

Ki-ufupi naweza kukubaliana kuwa mtu kama Lema ni mpango wa mungu kwa magumu yote ambayo umekuwa ukiyapitia kiukweli hadi sasa naona umepungua kamanda pole sana kwa majukumu mazito ya kuwatetea wanyonge ipo siku historia itakukumbuka na hakika ushindi wa leo unaonyesha ni kwa jinsi gani ulivyo karibu na wananchi wako kamanda kura ulizopata 56,000 ni halali mbele ya mungu. Arusha somo limeshaeleweka ukombozi uelekee sehemu nyingine pia
Nakubaliana na wewe kwenda kuwakomboa wana Mtwara nakuombea mungu akutie nguvu iwapo itampendeza urudi salama maana Mtwara kwa sasa eneo hatari mno kiusalama lakini tunawatakia hao wenzetu pia wapate ukombozi wa kweli maana hawana mtetezi
Mzee Tupa tupa nakubaliana na wewe kuwa AR magamba hamtakiwi lakini vijana wako waliopewa rungu wanafikiri wanazijua sana siasa na kupewa madaraka makubwa matokeo yake ndo hayo. Naamini mtaliona hilo katika tathmini zenu hapo Lumumba lakini kwa kuwa sikio la kufa halisikii mnaweza kujipa moyo kuwa mmmeshinda na Arusha.
Ogopa sana mtu anayeanza na mungu na kumaliza na mungu................. Giza haliwezi kushindana na nuru.

Kila la kheri makamanda.

Hara tanga
 
Kila la heri Mkuu tunachukua mkoa mmoja baada ya mwingine dhidi ya hii Serikali dhalimu ambayo haiwajali kabisa Watanzania miaka nenda miaka rudi. Pamoja na utajiri mkubwa tuliojaliwa nchini lakini Watanzania hatuoni maendeleo yoyote kutokana na utajiri huo mkubwa wa rasilimali. Kila la heri na Baraka Mtwara, ila ujichunge sana dhidi ya hii Serikali dhalimu ambayo haitasita kubambikizia kesi kubwa sana na hata kuchukua roho yako. Wanajua fika kwamba CHADEMA imekuwa maarufu sana nchini na Watanzania kila kona ya nchi yetu wanaanza kuiona CHADEMA ndiyo mkombozi wao toka katika makucha ya hii Serikali dhalimu.
 
Kamanda Lema ninakuombea kwa Mungu upate maisha marefu hapa duniani ili ufanikishe mipango yako na dhamira yako njema kwa watanzania. Tukiwa na makamanda wengine wanne tu kama wewe basi nchi hii inabadilika ndani ya miezi mitatu tu.
 
True that!Mtwara is the right move "to carry the momentum"

Viva la freedom fighters!God willing,we will be victorious!
 
Ndugu watanzania wenzangu mie ni mmoja wa wasomi wa nchi hii nilisema hivi mtu kama mwigulu,nape na wasira ndo watu watakaoibomoa CCM na nilisema uelewa wao ni mdogo sana hawana uwezo wa kushawishi watanzaniam wa zama hizi.Ukipanda mtama utavuna mtama.Mwigulu wewe sio msomi ni zuzu kadanganye mazuzu wa singida imekula kwako .................................................
 
Kamanda Lema,hongera sana,KWALOLYA NSERO.kazi ndo hiyo tunasonga mbele.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kata ya themi
chadema 678
ccm 326
cuf 313

kata ya kimandolu
chadema 2665
ccm 1169

kata ya kaloleni
chadema 1019
ccm 389
cuf 169

kata ya elerai
chadema 1715
ccm 1239
cuf 213
 
karibu mtwara, karibu kusini kamanda
Ernesto Che Guevara alipata kunena "if you tremble with indignation at every injustice, then you are a comrade of mine"
 
Hongera sana kamanda Godbless Lema,hongereni sana #team Chadema na wanaArusha wote!
 
Ki-ufupi naweza kukubaliana kuwa mtu kama Lema ni mpango wa mungu kwa magumu yote ambayo umekuwa ukiyapitia kiukweli hadi sasa naona umepungua kamanda pole sana kwa majukumu mazito ya kuwatetea wanyonge ipo siku historia itakukumbuka na hakika ushindi wa leo unaonyesha ni kwa jinsi gani ulivyo karibu na wananchi wako kamanda kura ulizopata 56,000 ni halali mbele ya mungu. Arusha somo limeshaeleweka ukombozi uelekee sehemu nyingine pia
Nakubaliana na wewe kwenda kuwakomboa wana Mtwara nakuombea mungu akutie nguvu iwapo itampendeza urudi salama maana Mtwara kwa sasa eneo hatari mno kiusalama lakini tunawatakia hao wenzetu pia wapate ukombozi wa kweli maana hawana mtetezi
Mzee Tupa tupa nakubaliana na wewe kuwa AR magamba hamtakiwi lakini vijana wako waliopewa rungu wanafikiri wanazijua sana siasa na kupewa madaraka makubwa matokeo yake ndo hayo. Naamini mtaliona hilo katika tathmini zenu hapo Lumumba lakini kwa kuwa sikio la kufa halisikii mnaweza kujipa moyo kuwa mmmeshinda na Arusha.
Ogopa sana mtu anayeanza na mungu na kumaliza na mungu................. Giza haliwezi kushindana na nuru.

Kila la kheri makamanda.

kuna mpango wa mungu na chaguo la mungu !
wagalatia bhana, Mungu wamemrahisiiisha !
 
Back
Top Bottom