Sina uhakika kama unajua maana ya utawala wa sheria!!!?Acha kauli za kuwatisha watu ww, usicheze na dola na lazima mfuate utawala wa sheria
Maana yake ni kwamba hakuna mtu yeyote anayetawala bali sheria (Raia wote ni sawa chini ya sheria)
Hivi kama kina Lowasa na Handrew Chenge wameiba mabilioni ya wananchi lakini bado wanaendelea kupokea posho za ubunge(kodi za watanzania!!, Lema anavuliwa ubunge kwa kutoa lugha za kashfa(si matusi kama LUSINDE) wakati wa kampeni. Hapa ni nani anayefuata utawala wa sheria? wananchi wa arusha tuko tayari kwa mapambano kudai HAKI hata ikibidi kufa.