Godbless Lema avuliwa ubunge

Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
[h=6]Wilbrod Slaa
[/h][h=6]We shall overcome.![/h]
app_2_2231777543_7567.gif
LikeUnlike · · @wilbrodslaa on Twitter · 21 minutes ago via Twitter ·

 
Hv hzo hela za uchaguzi wamekosa pa kuzipeleka?watu tunakosa ada za shule wao wanawaza chaguzi ndogo kwani huyo mbunge c wwananchi so haki za wananchi znakuwaje?
 
Lema amepigwa chini. Reasoning ya jaji inaonyesha alihongwa. The way forward ni kwenda Court of Appeal. Hata hivyo ccm wahangaika bure maana hata uchaguzi ukirudiwa leo watapigaragazwa kwa mbali

Hakuna haja ya kwenda mahakamani. Ni kupoteza muda. Kwa vile anaruhisiwa kogembea tena asubiri uchaguzi agombee tena. Sioni mtu mwingine akishinda huo uchaguzi zaidi ya Lema.
 
Pole Lema.
Pole CHADEMA.
Kwa wanaotaka kufahamu, Jaji Rwakibarila hakunadika Hukumu ya kesi hii; imeandikwa na Dr. Masumbuko Lamwai. Chadema wakitaka kuzuia mvua hii ya Mahakama kutoa ushindi CCM, basi mkakati wao unapaswa kumshughulikia Lamwai. Majimbo mengine ambayo matokeo ya uchagzi yatatenguliwa ni Ubungo, siyo Segerea.

 
Mod nina hasira!! ruhusuni lugha kali hata nusu saa! tutoe hasira zetu!
 
CDM itashida ila itakuwa fundisho kwa wagombea kutumia lugha ya matusi na uongo ambao umekuwa fasheni.Hapo issue sio lowasa ila ni kulinda amani ya nchi kwa mtu kuamua kumtukana mwenzie

Lusinde anachukuliwa hatua gani kwa matusi yale au ile ni misemo
 
Utabiri wa Mwanakijiji leo ujafanya kazi? alitabiri %99.99 Lema anashinda kesi...Mwanakijij upo Mkuu wangu! mambo ya kisheria hayana uhusiano na utabiri.

hahahaaha.....Leo kakimbia kabisa....:shut-mouth:😛eace:
 
Wapendwa, sasa itakuwaje hapo ikiwa uchaguzi unarudiwa inamaana wagombea watalazimika kufanya kampeni upya ? au kuna namna watafanya, maana naona gharama za uchaguzi ni kubwa sana.
 
Wakuu samahani kuna mtu anaweza tuwekea matokeo ya Mh Kamanda Lema na yule mama Mam.vi kipindi kile cha Uchaguzi 2010?

[TABLE="class: arc90_altrows-Blue"]
[TR]
[TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]ARUSHA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]JIJI LA ARUSHA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]ARUSHA MJINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #b3d5e6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #b3d5e6"]
Political Party
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #b3d5e6"]
Number of Votes
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #b3d5e6"]
Percentage Votes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]LEMA GODBLESS JONATHAN [/TD]
[TD="width: 20%"]
CHADEMA
[/TD]
[TD="width: 20%"]56,196[/TD]
[TD="width: 15%"]57.68[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]BATILDA DR. SALHA BURIAN [/TD]
[TD="width: 20%"]
CCM
[/TD]
[TD="width: 20%"]37,460[/TD]
[TD="width: 15%"]38.45[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]YUSSUPH BAALAWAY GHARIB [/TD]
[TD="width: 20%"]
CUF
[/TD]
[TD="width: 20%"]2,022[/TD]
[TD="width: 15%"]2.08[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]JOSEPH MARK MAFUATA [/TD]
[TD="width: 20%"]
MAKIN
[/TD]
[TD="width: 20%"]456[/TD]
[TD="width: 15%"]0.47[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]MACMILLIAN ELIFATIO LYIMO [/TD]
[TD="width: 20%"]
TLP
[/TD]
[TD="width: 20%"]179[/TD]
[TD="width: 15%"]0.18[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%"] [/TD]
[TD="width: 5%"] [/TD]
[TD="width: 15%"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="width: 20%"] [/TD]
[TD="width: 20%"]1,115[/TD]
[TD="width: 15%"]1.14 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
[TD="width: 20%"] [/TD]
[TD="width: 20%"]97,428[/TD]
[TD="width: 15%"]100 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hon. Lema let it go! if it was yours it will come back, if not it never was.
Put your trust in GOD and him alone. Forgive don't blame or hold grudges for anyone. GOD allowed it for a reason.
Queen Esther
 
ccm hovyoooo..!
Taifa lina majanga kibao kutokana na kuyumba kiuchumi, sielewi serikali hii inawaza nini kuruhusu maamuzi ya namna hii ambayo yataigharimu tume ya uchaguzi (serikali) mapesa kibao! I hate ccm vr much....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom