makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,219
Mnahakika gani kuwa haki haikutendeka?
Only fools like you can not see the justice of this judgement.
Bloody fool!Pambaf kabisa.
Mnahakika gani kuwa haki haikutendeka?
Lema kavuliwa ubunge rasmi...
Hii ni taarifa rasmi toka hapa mahakamani!
Pole Makamanda naona hukumu ya Lema imearibu sherehe yote ya Arumeru.
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini mheshimiwa Godbless Lema wa CHADEMA avuliwa ubunge na mahakama asubuhi hii ya leo lakini mpaka sasa hakuna uvunjifu wa amani hapa town na wamesema kuwa hawakati rufaa wanasubiria uchaguzi mwingine,,ntawapa updates zaid
Sipati picha uchaguzi unarudiwa, sijui Sisiemu watatoa hoja gani.... watamtumia nani.... Je? watamtumia Lusinde? sipati picha hiyo mitusi watakayoimwaga juu ya viongozi wa chadema ila Sisiemu inaenda kujimaliza!Lema kavuliwa ubunge rasmi...
Hii ni taarifa rasmi toka hapa mahakamani!
ulikuwa rumande?