Mimi sipati hofu na ukumu iliyotolewa kwani tendo hili litasaidia CHADEMA kuimarika zaidi sio Arusha tu bali kwa Tanzania nzima, kwani wakati wa kampeni za Uchaguzi ulioisha Arumeru umetufungua akili wengi na kujua mengi ambayo hata sikio halikutegemea kuyasikia. Uchaguzi wa Arusha utakuwa na umuhimu wa pekee hasa kwasababu ya umaarufu wa Lema.
Nchi nzima na hata nchi za nje zitafuatilia kwa karibu sana uchaguzi huu, na huko ndio kuimarika na kufahamika zaidi kwa CHADEMA. Najua na ninaamini CHADEMA itashinda, kwani jinsi tulivyoweza kulinda kura zetu Arumeru, tutashinda kihalali kabisa. Mungu ibarika Tanzania Mungu ibariki CHADEMA.