Godbless Lema avuliwa ubunge

Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Hiyo kazi iliyobaki kwa ccm,imepoteza kuaminiwa na umma inatumia mahakama. Tutaigharagaza vibaya sana ARUSHA.
 
hii ni kupoteza muda na gharama, upepo wa arumeru unaonyesha CDM inakubalika.
 
hii ni laana na kama kuna mkono wa mtu basi huyo mchawi......hivi hapa EL hahusiki kweli?
 
hata ccm wahujumu,mwendo mdundo.tumechoka na ufisadi.Japo taifa linafilisika kwa uchaguzi kila kukicha.na ccm wanatumia pesa nyingi mno.
 
Bad news kwa wapenda haki na ukweli.
 
Uwiiiiiii kodi zetu makabwela jamani.....tutafika kweli kwa namna hii??
 
usiwe unaongea kama punga wewe!!!... Au unabwabwaja tu kama umeshikishwa ukuta...
ashikishwe mara mbili??mwenzio anatafuta market na wwewe unataka kunasa hako kagonjwa atuna jf mwambie atafute kwingine
 
wakimkataza LEMA asigombee tunamweka DR SLAA.
Ndo nimetoka kwenye mkutano wa taarifa fupi ofisi za Chadema na Nassari amesema Lema atagombea tena na wana Arusha tunaahidi kushinda kwa kishindo kumbakiza Lema kwenye nafasi yake
 
hahuna shida kuvuliwa ubunge kwa lema kwani katika mazingira ya kawaida watasema mahama ipo kwa ajili ya kutenda haki zaidi tusubiri na nyingine ambazo vyama vya upinzani vinapinga chama cha ccm tuone if the same justice may happen. Lema atulie asiwe na mapepe yoyote uchaguzi unakuja na ninaimani kubwa atagombea na kushinda.
 
Lema usikubali kukata rufaa, subiri uchaguzi urudiwe tuwatie adabu magamba, tutawagaragaza kama mbwa koko.
 
Atumie tu uamuzi wa Busara akubaliana na iyo hali asikate rufaa kabisa ili wafanye uchaguzi mwingine uone tutakavyo chukua kura nyingi. Always silence is wisdom Lema piga kimya tuuuuuuuuuuuuu.............
 
Sisiemu wanasahau kwamba mwisho wananchi ndio final say,mianya ya wizi wa kura ishadhibitiwa so wapiga kura ndio waamuzi,so G.Lema kama kawa analamba jimbo!
 
Tanzania itakuwa na demokrasi ya kweli, dalili tayari zimejionyesha, na naamini demokrasia ya kweli italetwa na CDM ...Watanzania hata wale wa vijijini wamefunguka, wanataka mabadiliko ya kweli.
 
mimi wala sijashtushwa na hukumu huyo,ninacho omba mahakama imruhusu kugombea,tutarudish
a jimbo letu fasta, haya magamba wala hayatuwezi tena,tuko pamoja lema na wana arusha wote
 
MMhm! Toka lini mambo haya? Ama ni ulevi tu?

Kibunango, siku hizi huonekani yakhe, kuliko? Majukumu yamekuzidi? Yakhe, chukua likizo kwa ajili ya kampeni zijazo Arusha, mwezi Juni au July tutakuwa na uchaguzi mdogo wa marudio Arusha Mjini, karibu sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom