MMhm! Toka lini mambo haya? Ama ni ulevi tu?Saa ya ukombozi ndo sasa ni wakati wa chadema kujidhihirisha kwa kumsimamisha tena Brigedia General Godbless Lema(kamanda wa vikosi kazi vya aridhini) .....
Lema kavulia ubunge rasmi...
Hii ni taarifa rasmi toka hapa mahakamani!
Imenikera sana, na nimeumia sana moyoni. ccm msijidanganye kuwa eti hilo jimbo mtalichukua, never!
ni kweli mkuu...vyombo vingi vya habari hapa Arusha vinatangaza.......
Duh! Sikuweza kudhani hilo linaweza kutokea