Godbless Lema avuliwa ubunge

Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
inachukiza kuona mahakama ambayo ni nguzo muhimu katika nchi kama yetu ikitumiwa vibaya kwa faida za watu binafsi, ila inatia moyo kwamba hata uchaguzi ukiitishwa kesho jimbo litabakia kwa makamanda wa ukweli, CDM take the judgement and let us forge ahead,
 
Wamepiga hesabu vibaya jamaa, CDM wasikate Rufaa tusubiri uchaguzi mwingine tuone matokeo yake....
 
washenzi hawa wamepanga kutokuitisha uchaguzi mwingine mpaka 2015 jimbo litakaa wazi kama kwa wale madiwani lakini moto wake watauona tu

kwa nini jimbo likae wazi mpaka 2015. WanaArusha tutawakilisha na nani huko bungeni.
 
Vyovyote itakavyokuwa cdm ikimsimamisha yeyote lazima itashinda kwa kishindo!
 
Lema amepigwa chini. Reasoning ya jaji inaonyesha alihongwa. The way forward ni kwenda Court of Appeal. Hata hivyo ccm wahangaika bure maana hata uchaguzi ukirudiwa leo watapigaragazwa kwa mbali

Ni kweli Lema kapiwa chini lakini ni wazi uchaguzi ukirudiwa CDM watashinda na CCM kuaibika sana. Watajuta kwa nini walihonga ili Lema ashindwe. Natabiri anguko kubwa la CCM. Hivi sasa watu hasa vijana wanapita sokoine road wakipiga makele huku polisi wakifuata nyuma kutaka kuzuia maandamano. Wapenzi wengine wa CDM wanaelekea majumbani huku wakitafakari kitakachofuata.
 
Hivi serikali inawezaje kweli kuruhusu hali hii??? haina pesa za kuwalipa waalimu na ni juzi tu tumetoka kwenye tension ya uchaguzi wa Arumeru Mash inawezaje kuruhusu hali hii????
 
Mod unganisha hizi thread plz! Naona zipo zaidi ya 4 sasa!
 
Kama anaruhusiwa kugombea itakuwa vyema ukombozi una gharama sana
 
Hakuna kukata rufaa,This time mgombea wa CCM apate kura kumi kamili .Ikiwezekana kamanda Lema agombee tena kama hajazuiwa na mahakama.
 
CCM inatumia mahakama kuhujumu upinzani na hii ni hatari kwa mustakabali wa nchi!!


Mahakamani wameenda wote jee CDM inakuwaje kwenda mahakamani ambako mnajuwa kuwa CCM ina mkono wake?
 
mtupatie habari kamili, vipi anaruhusiwa kugombea tena?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom