huu ni msiba wa M4C lakini daima haki haipatikani kirahisi...wao wanapesa sisi tunamungu mapambano bado yanaendelea.!!
Kama ni kweli haki imetendeka mi sina shida, ila kama ni mchezo mchafu itakua Ngumu Lema kurudi maana lazima huu mchakato una plan A, B and C kwa hiyo CDM wajipange nao kua na plan A , B na C la sivyo itabki kua historia tuCCM hawatafuta pingamizi lolote tu......na tume ya uchaguzi tunajua imelalia upande gani
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"][/TD]
[TD="class: buttonheading, align: right"]Send to a friend
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]Thursday, 05 April 2012 10:56
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha imetengua matokeo ya ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini hivyo kumvua ubunge Godbless Lema wa Chadema. Taarifa zaidi soma gazeti la Mwananchi kesho
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nadhani sheria imechukuwa mkondo wake, Jaji wa kwanza Lema alimkataa alikuwa hana imani nae Jaji wa pili katenda haki.