Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

CHADEMA picha zenu sio za kuamini hata siku moja. Mnapenda Sana kujifariji kuliko uharisia.
 
Kumbe Mikia Fc nimamuruki eh
 
Mkuu kamwe shetani hawezi kushindana na Mungu akashinda.
Nyie watu mnamatatizo sana, mnasema mechi ni bure na imeandaliwa na serikali, kweli nyie kwa uongo huo ndo mnataka watu wawaamini? upuuzi mtupu, mwisho mtasema serikali imeamua na mke wa Makonda azae mapacha leo ili aongelewe CHADEMA isisikike, afu imekuwaje sikuhizi mikutano yenu mnafanyia vichochoroni?
 
Naona Radio Zote za Arusha hazijakwenda kwa mkutano pengine ni baada ya TBC kutolewa baru wakati inaonesha live...
Hivi kuna channel ya utube inaonesha mkutano wa Arusha kwani nimesearch bila majibu....
 
Cheki ya chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…