Deushinscky
Member
- Jul 14, 2014
- 75
- 39
Sasa hao walijitolea kusaidia wamefikia wap???Mpaka kesho. Hakuna mpango wa kulifuta wala kulirekebisha.
Sasa hao walijitolea kusaidia wamefikia wap???Mpaka kesho. Hakuna mpango wa kulifuta wala kulirekebisha.
Embu tuanzie hapa kutafuta hiyo 'chumvi' yako.Umetia chumvi sana mada yako. Mwaka jana nilitembelea gereza ya tajwa ya Gitarama, gereza ya 1930 na gereza moja iko sehemu moja inaitwa Remera mjini Kigali. Katika magereza hayo matatu wafungwa wanaishi vizuri kuliko magereza mengi ya Tanzania. Gereza ya Gitarama ilikua na hali mbaya sana mwaka 1997-2002.
Kufananisha magereza ya Rwanda na Tanzania, you must be seriously joking. Inahitaji uwe na moyo mpana.Tatizo la Rwanda inaonekana bado kuna roho za kulipa visasi.siwezi kuwa na imani na magereza ya Rwanda hata siku moja.
Mkuu tuwekee picha za hivi Karibuni za magereza ya huko.
Bora nifungwe Tanzania tu kwakweli.
Nimeeleza walipofikia; soma utaona.Sasa hao walijitolea kusaidia wamefikia wap???
Sijaelewa hao Global Giving wana ufadhili wa mashirika mawili ila pesa walizofanikiwa kuchangisha ni dola 325 ,hayo mashirika pesa walizotoa ndio hizi dola 325 ?Ambacho hakijaeleweka ni nn hapo ndugu?
Hapana, hizo ni pesa zilizochangwa toka kwa watu. Hawajaweka wazi pesa toka kwa wafadhiliSijaelewa hao Global Giving wana ufadhili wa mashirika mawili ila pesa walizofanikiwa kuchangisha ni dola 325 ,hayo mashirika pesa walizotoa ndio hizi dola 325 ?
USA wamejaza list. Kuna la Brazil ambalo mpaka sasa limebaki makumbusho.Tadmor Military Prison liko Syria nalo ni msala ingawa lina miundo mbinu nafuu kulinganisha na Gitarama ila unaambiwa kuna mwaka lilikua jela ya hatari zaidi duniani alafu USA inaongoza pia kwa kua na worst prison kwenye top 10.
Ndugu SteveMollel kwanza sina sababu ya kuuliza Amnesty international kuhusu gereza tajwa kwa sababu mimeshalitembelea mara nyingi.Embu tuanzie hapa kutafuta hiyo 'chumvi' yako.
1. Watu wanaishi wangapi ndani ya gereza hilo kwa sasa?
2. Wanapewa chakula na maji mara ngapi?
3. Gereza limeezekwa na kuundwa upya?
Embu uliza Amnesty International, wanalichukuliaje hilo gereza na wameliweka kwenye nambari gani mpaka sasa kisha rejea hapa.
Bwana Mibas, kuhusu hilo swala la moto, je nawe ni moja ya watu wanaokubali kwamba wakati linaungua wafungwa walikuwa wametolewa nje kwa mujibu wa maelezo ya Serikali?Ndugu SteveMollel kwanza sina sababu ya kuuliza Amnesty international kuhusu gereza tajwa kwa sababu mimeshalitembelea mara nyingi.
1. Sina idadi kamili ya watu walioko katika gereza la Muhanga ila kwa kiasi kikubwa wanalala kwenye magodoro na vitanda vile vile.
2. Siku za nyuma walikua wanakunywa uji asubuhi na wanakula chakula jioni.
3. Lile gereza mwaka 2014 liliteketea kwa moto kwa kiasi kikubwa, kwa hio limefanyiwa ukarabati mkubwa kabisa na linaonekana la kisasa.
USA wamejaza list. Kuna la Brazil ambalo mpaka sasa limebaki makumbusho.
Nikipata muda ntalichimba
Mkuu embu rejelea ile picha ya idadi ya watu alafu tulinganishe na idadi ya hivyo vitanda umavyosema wanalalia.Ndugu SteveMollel kwanza sina sababu ya kuuliza Amnesty international kuhusu gereza tajwa kwa sababu mimeshalitembelea mara nyingi.
1. Sina idadi kamili ya watu walioko katika gereza la Muhanga ila kwa kiasi kikubwa wanalala kwenye magodoro na vitanda vile vile.
2. Siku za nyuma walikua wanakunywa uji asubuhi na wanakula chakula jioni.
3. Lile gereza mwaka 2014 liliteketea kwa moto kwa kiasi kikubwa, kwa hio limefanyiwa ukarabati mkubwa kabisa na linaonekana la kisasa.
Kabisa! na umbali tu wa kilometa kadhaa unakutana na mojawapo likiwepo Venezuela. Ni heri ukafa.La Brazil itakua lile Carandiru maana unaambiwa wafungwa wanaona bora wajiue tu kuliko kuendelea kuishi kwenye hiyo Jehanamu.
Zipo picha nyingi sana za Gitarama. Zikiwekwa mtandaoni chuki dhidi ya PK itaongezeka. Kwa mfano:Hiyo picha ya watu waliolaliana ,siyo jela ya Ghana hyo kweli
Hiyo picha ni ya moja ya jela huko Ghana na siyo Rwanda
Hiyo sijakataa ila kuna documentary Fulani hv ilikuwa inaelezea jela moja ipo Ghana,nayo inatisha balaa ,ss hyo ya watu wanaolaliana ilikuwepo hapo watu nyomi balaaZipo picha nyingi sana za Gitarama. Zikiwekwa mtandaoni chuki dhidi ya PK itaongezeka. Kwa mfano:
Lango la kuingilia hiyo Jehanamu
![]()
Jamaa wamepumzika ndani ya Ngome. Ni ngome isiyokuwa na mfano:
![]()
Hii picha ni ya Gitarama
![]()
![]()
Imefika mahala utu wa binaadamu lazima uheshimiwe. Watu kama PK wanajifanya wasafi na malaika kumbe hawana hata chembe ya utu!Hiyo sijakataa ila kuna documentary Fulani hv ilikuwa inaelezea jela moja ipo Ghana,nayo inatisha balaa ,ss hyo ya watu wanaolaliana ilikuwepo hapo watu nyomi balaa
Kama hyo ya Rwanda pia hali inatisha ase Un waingilie kati
Akimaliza hapo muambie atafute Abu ghuraib ilivyokuwa/ilivyo,Guantanamo bay. Halafu atafute yanayoendelea mji mmoja unaitwa Qalqiya ,upo huko Palestine.Mkuu, kama huamini kwa maandishi nenda basi hata You tube ukatazame documentary.
Na kwa taarifa ni kwamba, hii sio sehemu pekee watu hufanyiwa hivi. Tena zingine zipo huko huko unapopaona wewe hawawezi fanya hivyo.
Inatisha kabisa!Akimaliza hapo muambie atafute Abu ghuraib ilivyokuwa/ilivyo,Guantanamo bay. Halafu atafute yanayoendelea mji mmoja unaitwa Qalqiya ,upo huko Palestine.