Si alisema akiwa raisi anamuweka ndani anayemiliki ilo GerezaTrump atafanya nini gerezani humo?
Si alisema akiwa raisi anamuweka ndani anayemiliki ilo GerezaTrump atafanya nini gerezani humo?
Mkuu, unadhani Serikali imeshindwa kukarabati gereza hilo? Ni kwamba wamelisusa, wamelipuuza.nimecheki moja ya documentary ya hiyo jela kwa kweli hali ni mbaya sana watu wameoza miguu dah! so sad
sijui kwanini wameshindwa hata kuweka paa la jengo ila wameweza kununua ndege kubwa tena latest
basi itakuwa ni chuki za kikabila ambazo mwalimu alisema ni sawa na kansa ila kwa nilivyoona wale jamaa wanasubiri tu kufa na nmeona ni bora wangewahukumu kifo tuMkuu, unadhani Serikali imeshindwa kukarabati gereza hilo? Ni kwamba wamelisusa, wamelipuuza.
Kwa taarifa ni kwamba, huduma ndani ya gereza hilo zilianza kusitishwa miaka ya 1995. Baada ya watu hao kusekwa kwa tuhuma za mauaji ya Kimbari.
Hebu rudia kusoma kilichoandikwaHiyo kaba ndo nini?
Mkuu, kama huamini kwa maandishi nenda basi hata You tube ukatazame documentary.Inawezekana kweli Dunia hii iliotawaliwa na utandawazi kujua jambo hili na kulifumbia macho,sina imani ya ukweli wa hii makala,Rwanda inaogopwa nini mpaka iwe inafanya mambo ya kinyama namna hii bila ya kuchukuliwa hatua na jumiya ya kimataifa?
Alijisemea Bill Nas: "Maneno kitu simple."Si alisema akiwa raisi anamuweka ndani anayemiliki ilo Gereza
Wamo humo na ingali hawajahukumiwa na mahakama. Ni watuhumiwa tu.basi itakuwa ni chuki za kikabila ambazo mwalimu alisema ni sawa na kansa ila kwa nilivyoona wale jamaa wanasubiri tu kufa na nmeona ni bora wangewahukumu kifo tu
Unakumbuka alichosema aliyekuwa mwenyekiti wa au Jakaya juu mustakabali wa amani ya kudumu na haki za binadamu kwa Rwanda?, unakumbuka kagame alivyojibu? Au ilifyata mkia maana hawakutoa azimio lolote, mwache kagame afurahi na roho yakeHivi Umoja wa Mataifa upo kwaajili gani?
Yako wapi mashirika ya watetezi wa binadamu?
East Africa Community ina maana gani?
Aaaarghhhhhhh............
Jamaa si alienda kujifunza baadhi ya vitu kwa huyu mkatili kagame.Kuna mtu kwenye huu uzi atamuingiza jpm sijui anahusikaje na mambo yao ya ndani muacheni mazee wa watu ajenge nchi
Ahahhaha kwahiyo mkuu atakuwa amejifunza na hili au?Jamaa si alienda kujifunza baadhi ya vitu kwa huyu mkatili kagame.
huko wanajisifu ni ma bingwa wa haki za binadamu tena nmeshangaa jela zingine zipo nchi kubwa kama brazilMkuu, kama huamini kwa maandishi nenda basi hata You tube ukatazame documentary.
Na kwa taarifa ni kwamba, hii sio sehemu pekee watu hufanyiwa hivi. Tena zingine zipo huko huko unapopaona wewe hawawezi fanya hivyo.
Hivi Umoja wa Mataifa upo kwaajili gani?
Yako wapi mashirika ya watetezi wa binadamu?
East Africa Community ina maana gani?
Aaaarghhhhhhh............
Na bado kuna watu wanamuona kagame kua kiongozi wa kupigiwa mfano.kwangu mimi hata ufanye maandeleo kiasi gani kama huheshimu haki za kiraia hufai.Uwiiiiiiii Mungu wangu,Kagame ana roho mbaya sana.
Mashirika ya haki za binadamu yako wapi?
Dah
Umemsahau yule mnyarwanda anayejifanya mtanzania baada ya kutoroka kwenye kambi ya wakimbizi kule Kigoma, anajiita mng'ato. Hawachelewi kumuita mleta mada ni Interehamwe.Angekuja na koba et murutongore ingependeza pia
Hao ni wanyarwanda ambao ni members wa jf, wapo jf kama PR wa serikali ya rwanda. Kuna mwingine anaitwa mng'ato, huyu anajiita mtanzania wakati ni mnyarwanda, tena wote hao inasemekana wanaishi Dar na walisomeshwa na serikali yetu ya Tanzania lakini wanaitukana Tanzania na watanzania kila siku.Hiyo kaba ndo nini?