NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,138
Naona tu jiji, jiji, jiji vile, jiji hivi
Na sisi binadamu je?Kama ni kweli basi tumwachie Mungu
Immediately! Unadhan kitaanzia wapi?Aisee nimeshtuka.something must be done here.
Naona sasa wamepuuzia hili jambo. Limebakia kama nadharia tu tangu serikali yenyewe haijaliUwiiiiiiii Mungu wangu,Kagame ana roho mbaya sana.
Mashirika ya haki za binadamu yako wapi?
Dah
Naona yanapuuzia hii habari. Lakini aidha ni sababu dhaifu zitolewazo na serikali ya kwamba hawana pesa za kutosha.Uwiiiiiiii Mungu wangu,Kagame ana roho mbaya sana.
Mashirika ya haki za binadamu yako wapi?
Dah
Si kidogo. Kuna picha moja mwandishi wa habari yupo nje ya geti ya gereza hilo akiwatazama kwa kuguswa mno!Inaogofya kwakweli
Angeanza hapa kufanyaje mkuu?Nadhani Trump angeanzia hapa
Hali ya huko inatisha mno. Kwani watutsi hawakuwaua wenzao?Dah!!! Chuki ya watutsi na wahutu ni kubwa sana kama ni hivi, Kaga yme si binadamu
Njia ya kuwatesa wafungwa hapa ni kuwanyima space. (Object of torture)Kwenye Papilon siyo wingi bali ilikuwa mateso waliyokuwa wakipata kule kisiwa cha Devil. Hapa siyo Segerea kweli?
Ndugu yangu, Hayo mashirika yapo tu. Yapo mengi yanayoendelea duniani na hayana mtu wa kuyasemea.Hivi Umoja wa Mataifa upo kwaajili gani?
Yako wapi mashirika ya watetezi wa binadamu?
East Africa Community ina maana gani?
Aaaarghhhhhhh............
Embu pitia tena vyanzo vyako.Hiyo picha ya watu waliolaliana ,siyo jela ya Ghana hyo kweli
Hiyo picha ni ya moja ya jela huko Ghana na siyo Rwanda
Nenda katazame mwenyewe bwana 'Tomaso'.Nahisi kama imetiwa chumvi sana hii makala
Trump atafanya nini gerezani humo?Hivi TRUMP anaapishwa lini jamani?Uwii.. hii ni zaidi ya SOBABOR