Hii habari imenifanya nitetemeke na kujenga chuki dhidi ya Kagame.
Kweli kuna watu makatili kiasi hiki! Wautu wana teswa sana lakini dunia kimyaa. Wazungu walivyo control mass media wanachagua ya kutangazwa. Najua wamerekani wamemtumia Kagame kupora mali za Congo kwa ujira wa kumlinda!
Pamoja na kwamba Rwanda ina ukabila na kuna wahutu zaidi ya 80 percent , lakini Kagame anayewaua wahutu eti anachaguliwa kwa 90+% kura! Wahutu wanaojaribu kugombea wanafungwa. Namkumbuka mama Victoria Ingabire anaozea jela na dunia iko kimyaaaa! It's. Very touching! This world is not fair!
Alafu cha ajabu hii habari ndiyo naisikia leo, kwa mtazamo wangu ilitakiwa iwe habari nzito duniani.
Duh, inasikitisha sana.