GITARAMA: Jehenamu duniani!

GITARAMA: Jehenamu duniani!

Rwandan government must do something to help this people.
That will never happen under Kagame. As long as Tutsi reigns, the place will ever be the same.

Serikali ndiyo imeamua eneo hilo liwe hivyo. Na itakuwa hivyo mpaka pale watakapoamua tofauti.

Kumbuka pia Kagame is about to seize another chance ya kuongoza Rwanda.
 
Foreign governments is needed to intervene to help this people.
 
daaaah....si bora wajiorganize wavunje gereza hilo na kujikataa....Bora wafe wachache kwa risas za askal kuliko kuliwa nyama....
Mkuu Adolf, nadhan jeshi zima litahamishiwa huko.

Anyway, kuna baadhi ya wafungwa walijaribu kutoroka, ukitazama vema utaona hata ukuta wake ni wa kawaida mno, ila mwisho wa siku wafungwa hao walitambaa wenyewe kurudi ndani ya gereza.
 
Umetia chumvi sana mada yako. Mwaka jana nilitembelea gereza ya tajwa ya Gitarama, gereza ya 1930 na gereza moja iko sehemu moja inaitwa Remera mjini Kigali. Katika magereza hayo matatu wafungwa wanaishi vizuri kuliko magereza mengi ya Tanzania. Gereza ya Gitarama ilikua na hali mbaya sana mwaka 1997-2002.
 
Tatizo la Rwanda inaonekana bado kuna roho za kulipa visasi.siwezi kuwa na imani na magereza ya Rwanda hata siku moja.
Mkuu tuwekee picha za hivi Karibuni za magereza ya huko.
Bora nifungwe Tanzania tu kwakweli.
 
Back
Top Bottom