GITARAMA: Jehenamu duniani!

GITARAMA: Jehenamu duniani!

Stori hii inatokana na makala za zamani, hakuna ushahidi kuwa hata sasa hali ya gereza iko hivyo.

Mwanzishaji wa uzi ni vema atoe current source ya madai yake.

Binafsi naweza kuweka link za makala kama hii iliyoandikwa miaka ya tisini.
 
Sasa ndugu yangu, huoni ungekuwa umepunguza maneno meeeengi kwa kupost wewe hali ilivyo kwa sasa.
 
Ni jambo la kiungwana kuripoti habari sahihi. Substance ya habari yako imehaririwa kutoka gazeti the Independent la Julai 1995 kama inavyoonekana hapa Hutus held in 'worst prison in world'

Binafsi ningependa ili kuthibitisha madai ya kuwa hali ipo hivyo mpaka sasa basi tupe vyanzo vipya.

Kumuandama Kagame kwa mambo ya 1990s ni kumuonea. At least laumu kuanzia 2009 miaka mitano baada ya yeye kuwa rais
 
Bwana King kan na ni bora na wewe ukaweka hiyo credible source and info yako.

Na kwa taarifa ni kwamba, si sehemu zotw nimezitohoa kwenye huo mtandao bali pia nimepita.

1. Hebu nionyeshe kuhusu habari za Global Living kwenye huo mtandao?

2. Hebu nionyeshe habari za cannibalism with evidences katika huo mtandao?

3. Hebu nionyeshe historia ya Gitarama katika huo mtandao?

Hata kama kitu kilifanyika mwaka moja, kwanini huyo Kagame hakuchukua hatua tangu alipoingia madarakani?

Unaongeleaje kuhusu kuungua kwa jela hiyo mwaka 2014 akilaghai kwamba wafungwa walikuwa weshatolewa gerezani?

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Sasa ndugu yangu, huoni ungekuwa umepunguza maneno meeeengi kwa kupost wewe hali ilivyo kwa sasa.

Kuhusu madai ya wafungwa kutokupelekwa mahakamani ni vema kuweka kumbukumbu sawa toka 2006 wafungwa wameanza kufikishwa katika mahakama mbalimbali nchini humo na wengine wameachiwa huru na mahakama hizo za Rwanda.

Ripoti hii inaonesha ushuhuda wa baadhi ya wafungwa walioachiwa huru baada ya kesi zao kusikilizwa End Illegal Detentions in Gitarama Prison - Rwanda .

Watu hawa sasa hivi wanaendelea na maisha ya kawaida kabisa.
 
Ni jambo la kiungwana kuripoti habari sahihi. Substance ya habari yako imehaririwa kutoka gazeti the Independent la Julai 1995 kama inavyoonekana hapa Hutus held in 'worst prison in world'

Binafsi ningependa ili kuthibitisha madai ya kuwa hali ipo hivyo mpaka sasa basi tupe vyanzo vipya.

Kumuandama Kagame kwa mambo ya 1990s ni kumuonea. At least laumu kuanzia 2009 miaka mitano baada ya yeye kuwa rais
Bwana ndugu, na vipi kuhusu Complex Magazine ambao bado wameihusisha jela hii kwenye list of fifty dangerous prison ikiwa taarifa hiyo imetolewa mwaka 2015?

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana.. na ukishaitenda ni ngumu kuiacha.. Nafikiri Mandela akifaulu sana katika hili. Pale aliposamehe.. Apumzike kwa amani huko aliko..
 
Kuhusu madai ya wafungwa kutokupelekwa mahakamani ni vema kuweka kumbukumbu sawa toka 2006 wafungwa wameanza kufikishwa katika mahakama mbalimbali nchini humo na wengine wameachiwa huru na mahakama hizo za Rwanda.

Ripoti hii inaonesha ushuhuda wa baadhi ya wafungwa walioachiwa huru baada ya kesi zao kusikilizwa End Illegal Detentions in Gitarama Prison - Rwanda .

Watu hawa sasa hivi wanaendelea na maisha ya kawaida kabisa.
Bado unaona serikali haitakiwi kulaumiwa?

Inakuaje serikali iliyo madarakani imekalia kimya na ingali wanafahamu wazi ya kwamba watu lukuki waliosekwa humo hawakupitia hata mahakamani?

Kwenye huo mtandao uliouweka, ni juhudi za watu wa nje wanaojihusisha na kukomboa wenye mahitaji, na si serikali.

Bado unaona Kagame anaonewa.

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Bwana Mibas, kuhusu hilo swala la moto, je nawe ni moja ya watu wanaokubali kwamba wakati linaungua wafungwa walikuwa wametolewa nje kwa mujibu wa maelezo ya Serikali?

Na je ni nini maneno yako kuhusu gereza hilo kutumika kama chambo teso ya wa Hutu?
Wakati gereza linaungua kulikua na wafungwa wachache waliokua nje ya gereza kwa kazi za kijamii haswa za ujenzi wa nyumba, wengine wengi walikua ndani ya gereza.

Serikali ya Rwanda inawatesa wafungwa maalumu katika magereza yote yalioko nchini kule na sio katika gereza la Muhanga pekee.
 
Stori hii inatokana na makala za zamani, hakuna ushahidi kuwa hata sasa hali ya gereza iko hivyo.

Mwanzishaji wa uzi ni vema atoe current source ya madai yake.

Binafsi naweza kuweka link za makala kama hii iliyoandikwa miaka ya tisini.
Hilo gereza tajwa nililitembelea mwezi wa tano mwaka huu. Kwa standards za magereza ya kiafrika halina shida kabisa.
 
Wakati gereza linaungua kulikua na wafungwa wachache waliokua nje ya gereza kwa kazi za kijamii haswa za ujenzi wa nyumba, wengine wengi walikua ndani ya gereza.

Serikali ya Rwanda inawatesa wafungwa maalumu katika magereza yote yalioko nchini kule na sio katika gereza la Muhanga pekee.
Sasa twabishana nini mkuu? Kwann hayo mengine hayakuonwa likawekwa hili on spot? Na hao waliobakia ndani wakati moto ukiwaka, ilikuaje?

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Bado unaona serikali haitakiwi kulaumiwa?

Inakuaje serikali iliyo madarakani imekalia kimya na ingali wanafahamu wazi ya kwamba watu lukuki waliosekwa humo hawakupitia hata mahakamani?

Kwenye huo mtandao uliouweka, ni juhudi za watu wa nje wanaojihusisha na kukomboa wenye mahitaji, na si serikali.

Bado unaona Kagame anaonewa.

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app

Nadhani hatuelewani swala/ maswala madogo hapa:

1. Nimesema habari hii imetiwa chumvi kwa sababu imehaririwa toka 1995 na kujaribu kuonesha kuwa hadi sasa hali iko hivyo.

2. Habari ina madai kuwa watu wote waliopo hapo gerezani about 7000 hawakupatiwa msaada wowote wa kisheria. Hili nalo si kweli kwa sababu idadi hiyo ya watu 7000 ni wale watuhumiwa waliokamatwa na kuwapo gerezani mwezi Julai 1995, mpaka sasa 2015 watuhumiwa wengi wamekwisha kuachiwa huru aidha kwa msaada kutoka NGOs kama hiyo niliyocite hapo juu na pia wengine walipelekwa kwenye mahakama za Gacaca na kuhukumiwa huko. Ni wazi majority ya prisoners waliobaki aidha walishahukumiwa au kesi zao zinaendelea. (Na ni vema kueleweka kuwa mpaka sasa wapo chini ya idadi tajwa ya takribani 7000).

3. Madai ya kuwapo cannibalism haya hayana msingi wowote zaidi ya kuwa nadharia pekee. Gazeti la The Independent lenyewe la 1995 katika makala iliyoitaja limekaririwa likisema wafungwa hawa hula mara moja ambacho ndio utaratibu wa nchi nyingi za Afrika. Pia mlo wa mara moja kwa siku hauwezi kumfanya mtu awe cannibal.

4. Kwa nini Kahama apongezwe? Ni vema kukiri kuwa pamoja na kasumba yake mbaya ya kuwaonea wapinzani wake, bado ni Rais aliyeweka utaratibu mzuri wa kushughulikia kesi za Mauaji ya Kimbari kuliko mtangulizi wake. Na kwa hili lazima nimpongeze kwa kuanzisha mahakama za Gacaca kwa kuwa kupitia hizo maelfu ya watuhumiwa wamepewa nafasi ya kuhukumiwa ambapo baadhi wameachiwa na wengine kutiwa hatiani. Maelfu ya watu wamepewa nafasi ya kusameheana na kuanza maisha mapya wakiwamo waliokuwa gereza hilo hilo la Gitarama.
 
Human rights should be respected. Pls President kagame take responsibility to help this people. Just forgive about the 1994 massive killings.
 
Haya sawa mkuu.
 
mambo ya sona hayo!

huwa napenda sana kusoma thread kama hizi,yaani zinazohusu matukio ya kweli yenye hisia.

huko papilon nako kuna nini?? tujuzeni sie wengne "tulikuwa hatupo''
 
Back
Top Bottom