DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Au hapa kazi tuDuh kazi ipo hapa
Au hapa kazi tuDuh kazi ipo hapa
Uùh
Majibu ya hivi anayejua ataelewa halo unayoipitia.Kama ipo ipo tu..tusitishane
Unatishwa na kivuli chako.. [emoji124][emoji124]Usinitishe
Na hutoweza kuelewa. Yani nije kusearch JF [emoji23][emoji23]Sijaelewa hii you are welcome. How, are you searching?
Nawewe unaamini hili la umri???
Usinifanyie hivo,, mi najiona bado bwana😢Wewe menopause ishakufikia bila shaka.
Yaani hawa wanaume wa JF wanadhani kila mwanamke humu kaja kutafuta mpenzi au mume, ona wanavyojihami. SMHNa hutoweza kuelewa. Yani nije kusearch JF [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili swali halina Adabu kabisa. Mm mtu akiniuliza hivi na simu nakata. Akinipigia namuuliza yeye namba yangu katoa wapi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]I'm 23yrs oldhow old are you?
Wanaume bwana.Unatishwa na kivuli chako.. [emoji124][emoji124]
Ushaolewa?Kwani 30 imefanyaje????[emoji3]
Hujajibu swaliUshaolewa?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]I'm 23yrs old