Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Acha umbea mtoto wa kiume.Ndio
Acha umbea mtoto wa kiume.Ndio
Na hapo ni umebadili tuu username na id ni ile ile, sasa sipati picha ungebadili ID.Hebu nisaidieni kushangaa!!!
Mwanaume? Unatoa wapi muda wa kulumbana na wanawake?One thing umekosea. Mimi sio mtoto wa kiume. Mimi ni mwanaume. Sawa bidada?
Hahah....only for genius! Ndo wanalolijua hilo!.. wenyew hawajui hilo, acha niendelee kuwadanganya naa waulize tuu!!Mwanamke anayeuliza such stupid and unreasonable qn ni mpuuzi maana kwa kiasi kikubwa huwa lazima udanganywe tu.
Tena tafuta sana pesa..... kwa maaana!!Mwanaume? Unatoa wapi muda wa kulumbana na wanawake?
Wanaume sasa hivi wapo kazini wanatafuta hela.
Kwa maana nini?Tena tafuta sana pesa..... kwa maaana!!
Wewe ulivyo rude hujioniHell no. With this kind of rudeness. A hell no.
Mwanaume? Unatoa wapi muda wa kulumbana na wanawake?
Wanaume sasa hivi wapo kazini wanatafuta hela.





Hahaa wameona nadhani ao wa 90.I'm talking to you sisters. Next year you'll be 30. Stop your stupid questions as to where did you get my number. Don't say you were not warned. 4 months left. ContinueView attachment 1174475
He already has!!God have mercy on You
Hapana I am not dreaming, telling you bitter truth.
Hhahah unachekesha wewe. Niko aiport nakwenda Mwanza. Think outside the box.
Na hapo ni umebadili tuu username na id ni ile ile, sasa sipati picha ungebadili ID.
Eti utakuwa huna sokoHatari gani?