Girls born in 1990

Girls born in 1990

Hivi kwanini hilo swali huwa linawakera sana wanaume?

Kwani ni vigumu sana mtu kujibu umepata wapi namba?
Nadhani swali lenyewe tu halikeri, ila anakupigia tu response yako ya kwanza ni 'namba yangu umetoa wapi.!'
 
There is no stupid questions hapo sir. Yani mtu anataka kuju Abcd zako na wewe unajidai unamtaka afubuseme tupid questions. Jielezeni vizuri.

You are welcome. Next
Cool and relax utongozwe bibie
 
Sasa hao wengine wanamaanisha kwamba hawataki kabisa kuulizwa hilo swali soma majibu yao kule juu
Nadhani swali lenyewe tu halikeri, ila anakupigia tu response yako ya kwanza ni 'namba yangu umetoa wapi.!'
 
1990 NAYE NI GIRL?,1990 ni bibi tayari ukimuita wa 1990 Girl na wa 2005 utamuitaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom